Recent content by Happiness Morice

  1. Happiness Morice

    Kutinda nyusi kwa nyuzi.

    Thanks kipenzi ,na je bei yake?
  2. Happiness Morice

    Kutinda nyusi kwa nyuzi.

    Hello,jmn kuna mtu yeyote anayejua sehemu wanayo tinda nyusi vizuri kwa kutumia uzi?
  3. Happiness Morice

    Je, Mafuta ya Palmers ni mazuri kama watu wanavyoyasifia?

    Hbr zenu wandugu, hope mko poa. Mimi ni maji ya kunde kidogo na my skin is a little bit dry kwa sasa nataka nianze kupaka palmers body cream and oil pamoja na face cream yake. Kwa anaye yajua haya mafuta vizuri,je ni mazuri kweli au watu wanayapaisha tu?
  4. Happiness Morice

    Vitabu vyangu bora vya nyakati zote. Vipi vyako?

    Sasa,have you pursued any of those?
  5. Happiness Morice

    SoC01 Tahadhari: Biashara za mtandaoni ni chanzo cha umaskini

    Aisee hii ni kweli kabisa,watu wengi hususan vijana wanapenda mafanikio ya haraka.Juzi tu nimetoka kujifunza somo la maisha kwamba utajiri hauji kirahisi kama wengi wetu tunavyodhani.
Back
Top Bottom