Recent content by Hany

  1. Hany

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

    Kabisaa maana hapo lazima wawafatilie account zenye hela nyingi zaidi
  2. Hany

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi CRDB afikishwa Mahakamani kwa kumuibia mteja zaidi ya Tsh milioni 100 na kuzitakatisha

    Zitakuwa zilibaki nyingi mkuu ..hawaibiwi wenye hela za nyanya ..
  3. Hany

    JamiiForums Tanzania Muda gani ni sahihi kuondoka bar?

    Hili nalo NENO haki hahahahaha..Ukweli mchungu
  4. Hany

    JamiiForums Tanzania Je, machangudoa wamejificha kwenye nyumba za kufanyia Massage?

    Dushe ikasimama ukala mambo mweee
  5. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo mahusiano mengi ya kimapenzi huwa yanakufa kwenye hatua hii

    Hahahahaha
  6. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya leo mahusiano mengi ya kimapenzi huwa yanakufa kwenye hatua hii

    Sio kweli wadada ni wavumilivu lakini akisha kuona humfai au anataka kukujaribu ndio utakuta vipimo vya majaribu hahahah
  7. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

    Jamani watu mnadhambi dah kwahiyo kama nimeolewa na mtu ananinyanyasa na hana mapenzi na Mimi nikae tu kisa nitaitwa single mother..sitakua na thamani wala kuthaminiwa ..majina mabaya yote yangu Jamani mweee
  8. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa aliyekuwa mke wa rafiki yangu kipenzi

    Mh
  9. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Call ya house girl kwa mume wangu

    Kwanza nikupe pole ..mmh wanaume Mungu anawaona.. Jamani hivi hamuwezi kuona binti wa kazi ni kama binti yako ,Nje kote unakosa wanawake mpaka uchukue binti wa kazi ? Wanaume kutembea na dada wa kazi ni kuhatarisha MAISHA ya mkeo na watoto wako pia,kwasababu kumbuka dada wa kazi nae ana wivu ...
  10. Hany

    JamiiForums Tanzania TUJADILI: Hukumu kwa waliochoma Kituo cha Polisi Bunju A

    Kama ni kweli aisee ...nimekosa la kusema Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Hany

    JamiiForums Tanzania Ben Kinyaiya afunga ndoa na mchumba wake wa siku nyingi

    Hahahahah nimecheka kama mwendawazimu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Muache ajishauwe Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Tena ukitaka kuivunja ndoa yako jidanganye kuoa mke wa pili.. hakuna Rangi utaacha kuona ..kwanza mngejua ndoa nyingi zimedumu kwa uvumilivu wa wanawake ..wanawake oyeeeeee Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mada hii ni maalum kwa wanawake watusaidie kujibu maswali haya

    Namba moja chanzo kikuu wanaume ..kifupi wanaume ndio sababu ya wanawake kuwa hivyo .. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Hany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukio gani la ajabu limewahi kukukumba mbele za watu

    Hahahha watu mna maneno
Back
Top Bottom