Recent content by hansluvanga

  1. hansluvanga

    walioitwa interview REA tujuzane tips na maswali yao

    walioitwa REA kufanya interview tujuzane abc hapa naomba kuwasilisha
  2. hansluvanga

    Mwalimu wa physics na mathematics

    sio kwamba haitembei kuna ki2 kinaitwa focus mkuu elewa
  3. hansluvanga

    Mwalimu wa physics na mathematics

    yupo expart wa masomo ya physics na mathematics kwa o- level ni mhitimu wa diploma katika course ya engineering ana uwezo mzuri wa kufundisha....call kwa maongez 0733480567 mwalimu yupo iringa
  4. hansluvanga

    Naomba kujuzwa walioitwa Interview TANROAD Mwanza

    Wadau naomb kujua idadi ya walioitwa kweny usaili TANROAD Mwanza nisije choma nauli bure. Natanguliza shukrani
  5. hansluvanga

    Weighbridge Shift Incharge at TANROADS

    Kk nimepigiwa cmu kwa ajili ya interview huko tanroad mwanza Leo japo Ni position ya operator
  6. hansluvanga

    Treni ya kwenda Arusha bado inafanya kazi?

    Wakuu naomba kuuliza hivi ile treni ya kwenda Arusha bado inafanya safari zake au ni msimu wa sikukuu tu?
  7. hansluvanga

    Niulize chochote kuhusu course ya bachelor degree in legal and industrial metrology

    Anakua metrologist kaz zake kubwa n kufanya uhakiki wa mizan inayotumika katika biashara
  8. hansluvanga

    Msaada mgongo unauma sana

    Ok boss na je kipo kweny bima???
  9. hansluvanga

    Niulize chochote kuhusu course ya bachelor degree in legal and industrial metrology

    Nakaribisha maswali kwa yeyoye anaetaka kufahamu Zaid kuhusu course karibuni #elimunikuwanataarifa
Back
Top Bottom