Recent content by Hansard

  1. Hansard

    JamiiForums Tanzania Ipo siku wapinzani watakubali ukweli kuwa CCM haina mbadala wake

    Walishakubali tayari
  2. Hansard

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Mapokezi ya Tundu Lissu kutolewa

    Kuna jambo hapo,yaani Lissu anakuja viongozi wengine watakua kanda ya Ziwa[emoji2296]….. Lissu amechuja na Mbowe ameendelea kupata kuungwa mkono kwa kasi kwa kuwa na kipaji cha uongozi
  3. Hansard

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Zanzibar haijawahi kutawaliwa na Rais Mkristo na ni sehemu ya Tanzania?

    Itakuja kutokea tu,Historia ita andikwa
  4. Hansard

    JamiiForums Tanzania Anayetishia Ujio wa Lissu Tanzania ajulikana. Ni Afisa wa Polisi wa Kike Julius Nyerere International Airport (JNIA)

    Mtoto wa kike anaitishia chadema,kweli makamanda mme rainiki
  5. Hansard

    JamiiForums Tanzania Why Magufuli administration misses the point on Government splurge

    Jamaa alikua analipwa hela na media za nje halafu halipi kodi
  6. Hansard

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Viwanda na Biashara inapaswa kuongozwa na mtu mbunifu kama January Makamba hivi, TRA iongozwe na mtu kutoka ndani

    Januari mwizi yule,ana vitabia vya udokozi! Ni sawa na kumkabidhi fisi bucha
  7. Hansard

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amjibu Humphrey Polepole. Asema yupo tayari kukamatwa na hata kuuawa ila mawazo yake hayatakufa

    Zitto ni mbunge peke yake kwenye chama chake lakini amewasha moto! Zitto moja ni sawa na Chadema elfu 100
  8. Hansard

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    Sasa tupigie nani uchaguzi wa 2015 mkaleta yule fisadi mkataka tumpigie kura awe Rais! 2020 mnamleta nani??? Mnaipa ushindi CCM kwa kutojipanga
  9. Hansard

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Wabunge Ester Bulaya na Halima Mdee Wafungiwa Vikao vya Bunge kwa mwaka mzima

    Wataalam wa masuala ya Kibunge watuambia adhabu hii ina athari gani kwa Wabunge waliopewa adhabu hizo???
  10. Hansard

    JamiiForums Tanzania This is how Zitto Kabwe escaped from the hands of Police and fled abroad

    Zitto kaamua kuandika story kwake mwenyewe
  11. Hansard

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    Stori ya Ben imepitwa na Wakati agenda kubwa ya Chadema kwa sasa ni baa la njaa
  12. Hansard

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, tueleze CHADEMA mlipompeleka Ben Saanane

    Ndio basi tena Ben story yake imepoteza mvuto agenda kubwa ya Chadema kwa sasa ni baa la njama nchini
  13. Hansard

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

    Kamati kuu ya Chadema ilitoa orodha ya tuhuma za kafulila alipofukuzwa mwanzoni ikiwemo kuwa msaliti! Bila shaka watasema Kafulila ameacha usaliti!
  14. Hansard

    JamiiForums Tanzania David Kafulila ahamia CHADEMA akitokea NCCR Mageuzi

    Hata kafulila ni mtoto wa shetani alie fukuzwa chama cha kanda ya kaskazini
  15. Hansard

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yaahirisha uamuzi wa rufaa ya dhamana ya Mbunge Lema hadi tarehe 20 Dec

    Lema aende ndani tena ili akitoka mwaka 2017 awe na new thinking
Back
Top Bottom