Recent content by Hans king

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Huku umri ukizidi kukutoa kwenye mashindano
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Watu wapo kwa waganga usaili c washamaliza
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Ivi takukuru nao wanaenda kozi au zile ni kazi moja kwa moja?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Yaah usaili leo ndo siku ya mwisho...baada ya hapo mbuyu uhusike kuitwa kwenda depo
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Ivi magereza kuna posho ya taaluma wadau? Afu mishahara yao ipoje
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Kikubwa kuomba mungu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Any update wadau
  8. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Atakua ana mbuyu huyo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Yani kwa taarifa niliyonayo hapa wakuu kama hujaitwa naulikua na vigezo vyote kuna kigezo cha GPA kilihusika pia. waliangalia mpaka GPA yako ya chuo...kila taaluma walikua wanasort by GPA ni hayo tu wadau.Kama taaluma yako walikua wenye GPA kubwa wengi basi GPA ndogo hawakuitwa.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    We jamaa acha kupotosha watu usaili wa magereza kwa wenye taaluma bado na majina yatatolewa kama kawaida kweny mitandao ya jeshi hilo mda wao ukifika...tuendelee kusubiri wadau
  11. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Usaili kwa wenye taaluma mbalimbali bado na utafanyika kama kawaida msiwe na wasiwasi ila jiandaeni kwenda dodoma utafanyikia huko
  12. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Bado mkuu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Tupe Source za taarifa mkuu
  14. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Magereza kimya sana aissee wangetuambia tuu tarehe ya kuripoti tujiandae
  15. H

    JamiiForums Tanzania Msaada interview za Jeshi la Magereza

    Uzi unachangamka hadi raha
Back
Top Bottom