Recent content by HANIF SENGU

  1. H

    JamiiForums Tanzania Naseeb Abdul (Diamond Platinumz), akaliwa kooni na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

    Siasa acheni pumbavu....msiwe mnaleta siasa zenu za vichochoroni ktk muziki.....
  2. H

    JamiiForums Tanzania Bifu la Lady Jaydee na Madam Ritha wa BSS

    Mnaleta siasa mpaka mwenye mziki...unavyosema hana mpinzani tu....nikajua wewe kambi jaydee....hatuendi hivyo...alafu ushabiki haufai......
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kumbe Wema Sepetu alikuwa mzuri hivi?

    Huyu binti nilikua namlaumu sana matendo yake.....lakini..nimejua kuwa anamapungufu flan....so watu wanayatumia hayo mapungufu yake...pia..asipopona..yatampelekea pabaya....
  4. H

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Jay Dee afunguka, atoa sababu za kuitosa ndoa yake

    Jamani.gadner ni mtendaji mzuri sana na mbunifu....katika mafanikio ya jide kachangia asilimia kubwa sana....tukumbuke mwanamke bila mwanaume mtihani sana.tunatizama upande moja tu...jay dee kupata senti alibadilika..sisi watu wa karibu yake....kabadilika sana.sasa alianza dharau.maamuzi akawa...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Samuel Sitta amsimamisha kazi Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Madeni Kipande

    Nachoweza sema..bandarini ni sehemu nyeti sana..kila moja anataka kupitisha vyake kwa ugogo wake....hakuna mtu aliefanya kazi vizuri kama ephraim mgawe..lakini fitina za mwakyembe kumuweka kibaraka wake ndio hizi...huyu jamaa alietoka ni remote....ya watu tunaowajua.....hatotokea kama ephraim mgawe
  6. H

    JamiiForums Tanzania Sababu kumi (10) muhimu zitakazowafanya wana UKAWA wamkabidhi kijiti Mhe Lipumba na kumnyima Dr Slaa

    Akiwa raisi prof.lipumba atakua ametoka ukawa ama CUF?
Back
Top Bottom