Recent content by handsome84

  1. handsome84

    Ni uongo gani ulimdanganya au ulidanganywa na mpenzi wako, ukashindwa kuushtukia kabisa mpaka baadae sana...

    Nilimdanganya sijaoa akanipa papuchii nilipoginga chap nikasepa akaja kujua baadae sana
  2. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Km 11 kwa lita 1 ya mafuta kwa kuwa ina cc 1720 rav4 ya mjapan na rav 4 ya mwingereza km 10 kwa lita 1 kwa kuwanina injini cc 1825.
  3. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Toyota Alex haina tofauti sana na ist mkuu fuata maelekezo yaliyotolewa awali kuhusu ist utaelewa zaidi. Kama hujaelewa karibu kama una swali zaidi mkuu
  4. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Ist lita moja inakwenda kuanzia km 16 hadi km 22 kulingana na service ya gari au ukiwasha ac. Na pia kama unaikanyagia sana ili achanganye mapema. Mark II grand inatumia lita 1 kwa km 9 mpaka km11. Kulingana na maelezo niliyotoa hapo juu.
  5. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Speed kwa nchi yetu Tanzania ni 80kmph ndio inayoshauriwa kulingana na barabara zetu ijapokua unaweza kendesha hata speed 100 au zaidi kutegemea na dereva je unaweza kuimudu gari yako pindi linapotokea lolote la ghafla barabarani.
  6. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Nauza pia magari kuu kuu ila sio screpa ni yal ambayo unaweza kuyatumia bado yapo katika hali nzuri.kwa sasa sina land cruiser mkuu nina harrier old mode,noah new mode,rav4 kili time na nissan dualis mengine ni mapya chasis number.
  7. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Nazo ni oil nzuri ila oil standad ni bp mkuu.
  8. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Mkuu mimi nauza magari yakiwa complete ila kama unahitaji injini na gear box nakushauri uende ilala pale utapata injini na gear box za gari aina zote muhimu uende na fundi wako ambaye unamuamini wewe atakayekukagulia injini na gear box kabla ya kuinunua mkuu.
  9. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Hii ni gari kubwa cc3000 hata ukiamua kuendesha kwa siku 5 bila kupumzika gari inauwezo huo hata ukiendesha km 10000 bila kupumzika inauwezo huo.hivyo wala usiwe na wasiwasi.ila zingatia tu kabla ya kuanza safari kuikagua vitu kama maji,oil,upepo wa tairi na kusafisha air clener na mara...
  10. handsome84

    Je, toyota IST inafaa kwa safari za mkoani?

    Kama una uwezo ni vyema ukanunua toyota rav4 kuanzia rav4 old model, rav4J au hata rav4 kili time zote ni gari za juu na ni nzuri kwanza ziko juu na upatikanaji wake wa vifaa ni rahisi na bei ni resonable mwisho ulaji wa mafuta ni mzuri na gari ni ngumu na ya kudumu ila tu injini zake hakikisha...
Back
Top Bottom