Mngetaka azunguke kwa wapiga kura msingempiga risasi
Tatizo mnadhani wananchi ni wajinga na ccm ( komradhi naona aibu hata kuiandika chama chenu kwa herufi kubwa) ndio werevu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sipo chadema unakariri na sihitaji kuwajua staff wa bunge ili kuhoji ninachoelewa hakuna yeyote yule bungeni mwenye mamlaka ya kutuziba mdomo
Hoja yangu inabaki pale pale
Where is 1.5tr?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mjadala unafungwaje na mbunge mmoja kwani hizo pesa zilitoka mfukoni kwake
Nani alisema mbunge anaweza kutunyamazisha tusihoji, ametoa wapi hayo mamlaka?
Wananchi ndio tunataka kujua kodi zetu zimekwenda wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Najua, ndio maana nikauliza kama umeweza kuzungumzia 9.4b
Inakuwaje umeshindwa kuzungumzia 1.5tr?
Si zote ni fedha za UMMA?
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya mambo ya ndoa ni
Mungu anapanga mkuu.
Mwanamke unayemuoa huwezi kumkimbia wala yeye hawezi kukukimbia.
Trust me,
kama ndie uliyepangiwa utamwacha leo, utazungukaaa kisha utarudi kwake lkn kama siye, mambo yataisha automatically wala hauhitaji kutumia nguvu nyingi.
Sent using Jamii...
Kwanini akiteua na kutengua mawaziri haweki kwenye twitter halafu waendelee na kazi?
twitter haijawahi kuwa official statement hata siku moja.
Yuko sahihi, rais (kama taasisi) haijawahi kusema neno kuhusu shambulio la Lissu
Sent using Jamii Forums mobile app
"We prayed for him" unamaanisha nini?
Unamaanisha sisiemu mlimwombea?
Kwamba hujui kauli ya Msukuma kumtaka Lissu afe ni msimamo wa chama chenu kwakuwa hamjakanusha wala kumkemea.
Unafiki kitu kibaya sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.