SEHEMU YA 41/50…..
Gari ikatumbukia mtoni na kuanza kushuka kwenda chini ya maji ambayo yalionekana yana kina kirefu mno, taa za gari zikaanza kuwaka na kuzima, huku mimi nikijitoa mguu ulokuwa umebana kwenye siti, nikawa najivuta huku pumzi nikiwa nimeibana maana maji yalikuwa yashajaa...