Tunda Special
Mgumba Part 1
Mgumba Part 2
Mjumbe Cha Ugoni
Mtumai Cha Ndugu
Mapendo
Manyanyaso Kazini
Shosho Zena
Mzee Manje
Paulina
Zawadi Ya Watanzania
Kiu Ya Mapenzi
Mkuu Mwinjuma Muumini Ni Mtunzi Na Mwimbaji Pia Kabla Ya Kwenda Mchinga Aound Alipiga Muziki Kenya Na Aliporudi Nchini Alianzisha Bendi Ya African Revolution 'Tamtam' Ametunga Nyimbo Nyingi Tu Na Marrufu Zaidi Nyimbo Kama
Tunda
Mgumba Part 1
Mjomba Njaa
Tunda Special
Manyanyaso Kazini
Shangingi...
Kwasasa Kila Mbongo Yupo Nchini Ufaransa Aliachana Na Muziki Baada Ya Kupata Ugonjwa Wa Saratani Ya Koo Huyu Jamaa Alianza Na Grpup Toka Album Ya Kwanza Nouvelles Missiles 1995, Akaja Album Ya Pili Confirmation 1996, Akafatia Album Ya Tatu Ouragan 1997, Akaja Album Ya Nne Etat Major 1998...
Losambo sio Album Ni Wimbo Uliopo Ktk Album Ya Tatu Ya Extra Musica Inaitwa Ouragan Mkuu Baada Ya Album Hii Ya Tatu Ndio Wakatoa Album Ya Nne Mwaka 1998 Ikiitwa Etat Major Na Wakati Wa Album Ya Kwanza Nouvelle Missiles 1995 Wakarekodi Album Ya Pili Confirmation Waliitoa 1996 Baada Ya Album Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.