Mwinjuma Muumini ndiye mwanamuziki wa Dansi mwenye uwezo wa juu zaidi kiutunzi na arrangement ya muziki hapa Tanzania

Nyimbo alikuwa anatunga Mudhihiri Mohammed mbunge wa jimbo la Mchinga, usimpe Mwinjuma sifa asizokuwa nazo
Mkuu Mwinjuma Muumini Ni Mtunzi Na Mwimbaji Pia Kabla Ya Kwenda Mchinga Aound Alipiga Muziki Kenya Na Aliporudi Nchini Alianzisha Bendi Ya African Revolution 'Tamtam' Ametunga Nyimbo Nyingi Tu Na Marrufu Zaidi Nyimbo Kama
Tunda
Mgumba Part 1
Mjomba Njaa
Tunda Special
Manyanyaso Kazini
Shangingi La Karne

Na Alipokua Double M Sound Alitunga Nyimbo Zingine Pia Kama
Zawadi Ya Watanzania
Ndugu Lawama
Mgumba Part 2
Mjumbe Cha Ugoni

Hizo Ni Baadhi Tu So Hukustahili Kuongea Hivo Kwa Mtu Kama Muumini Mwinjuma
 
Tunda
Fadhila kwa wazazi
Mgumba 1&2
Kilio cha yatima
Mapendo
Kisiki cha mpingo
Paulina
Maisha kitendawili
Sada
 
Muumini alikua anajua sana, Muumini(Harmonize), Ally Choki(Ali Kiba) na Banza Stone ( Diamond Platinum) huo ni mfanano kwa wale ambao hamkuwahi kusikiliza kazi zao,
 
Enzi hizo ningewapanga kwa mtiririko huu

Banza stone
Muumini
Ali choki

Hawa miamba walisumbua sana nchi hii kwenye ulimwengu wa dansi enzi hizo
 
Back
Top Bottom