Recent content by Hamza Temba

  1. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla amemteua Miss Journalism 2018 kuwa balozi wa Pori la Akiba Selous

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amemteua mshindi wa taji la Miss Journalism Tanzania, 2018, Witness Teddy Kavumo (21) kuwa balozi wa utalii wa Pori la Akiba Selous. Amefanya uteuzi huo mwishoni mwa wiki Jijini Dodoma baada ya mazungumzo na mwanamitindo huyo aliyemtembelea...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Dk. Kigwangalla: Mashindano ya Olimpiki 2020 nchini Japan kutangaza vivutio vya utalii vya Tanzania

    MASHINDANO YA OLIMPIKI 2020 NCHINI JAPAN KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII VYA TANZANIA - DK. KIGWANGALLA Mashindano ya Olimpiki yatakayofanyika nchini Japan mwaka 2020 yatatumika kunadi vivutio vya utalii vya Tanzania kupitia timu ya Taifa ya riadha na banda la maonesho ya utalii. Hayo yameelezwa...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Dk. Kigwangalla: Ujangili nchini wapungua kwa zaidi ya asilimia 50

    UJANGILI NCHINI WAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50 - DK. KIGWANGALLA Serikali imefanikiwa kudhibiti vitendo vya ujangili hapa nchini kwa zaidi ya asilimia 50. Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla wakati akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Dk. Kigwangala aitaka kamati ya inayochunguza tuhuma za mauaji ya tembo Ruaha-Ruangwa kutenda haki

    DK. KIGWANGALLA AITAKA KAMATI INAYOCHUNGUZA TUHUMA ZA MAUAJI YA TEMBO KATIKA IKOLOJIA YA RUAHA-RUNGWA KUTENDA HAKI Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Hamisi Kigwangalla ameitaka kamati inayochunguza tuhuma za mauaji ya tembo katika Ikolojia ya Ruaha-Rungwa ambazo zilitolewa mwishoni mwa mwaka...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Salamu za PASAKA kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dk. Hamisi Kigwangalla, Naibu Waziri, Mhe. Japhet Hasunga, Menejimenti na Wafanyakazi wote wa Wizara wanawatakia Watanzania wote PASAKA njema. Tunawashukuru kwa kutuunga mkono katika jukumu letu la uhifadhi na usimamizi wa maliasili na malikale, na kuendeleza...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Agizo alilolitoa Waziri Kigwangallah mkoani Manyara kwa wananchi walioko ndani ya hifadhi

    SERIKALI italipa fidia na vifuta jasho kwa vitongoji ambavyo vipo ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Tarangire na Pori la Akiba Mkungunero ili viweze kupisha maeneo hayo yaendelee kuhifadhiwa kwa mujibu wa sheria. Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla katika...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tanga: Waziri Kigwangalla aagiza mbinu mpya kudhibiti madini kwenye chanzo cha maji ya mto Zigi

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla ameuagiza uongozi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS kujenga kituo cha ulinzi cha kudumu katika eneo la chanzo cha maji ya mto zigi kilichopo ndani ya Hifadhi ya Mazingira Asilia Amani kwa ajili ya kulinda chanzo hicho. Dk...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Kigwangalla amaliza mgogoro wa hifadhi na vijiji wilayani Rufiji.

    Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amemaliza mgogoro wa ardhi uliodumu kwa zaidi ya miaka minne baina ya Hifadhi ya Msitu wa Utete maarufu kama Msitu wa Kale na vitongoji vinavyopakana na hifadhi hiyo vya Siasa, Nyawanje, Kindwitwi na Utunge katika wilaya ya Rufiji mkoani...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Hifadhi ya taifa ya Mikumi imeiomba Serikali kuchepusha barabara ya lami inayopita ndani ya hifadhi hiyo

    HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI IMEIOMBA SERIKALI KUCHEPUSHA BARABARA YA LAMI INAYOPITA NDANI YA HIFADHI HIYO Serikali inafikiria namna bora ya kubadilisha uelekeo wa eneo la kilometa hamsini za barabara ya lami inayopita ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mikumi au kutoza kodi ya utalii kwa watu...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Chuo cha usimamizi wa wanyamapori (Mweka) kuanza kutoa mafunzo maalum kwa wanaongoza watalii nchini kuanzia kesho.

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Japhet Hasunga (wa tatu kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori-Mweka, Brightone Mbilinyi kuhusu mafunzo ya silaha yanavyotolewa chuoni hapo katika mahafali ya 53 ya chuo hicho yaliyofanyika jana katika wilaya ya...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Maliasili atimua wananchi hifadhi ya Katavi

    Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga, amewataka wananchi wa Kitongoji cha Situbwike ambao wamevamia Hifadhi ya Taifa ya Katavi na kuanzisha shughuli za kibinadamu kinyume cha sheria waondoke kwa hiari ndani ya wiki mbili zijazo kabla ya kuondolewa kwa nguvu. Naibu Waziri Hasunga...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe atoa wito kwa wananchi kuunga mkono juhudi za serikali za kupambana na ujangili

    Iringa 30 Septemba, 2017 Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe jana tarehe 29 Septemba, 2017 amefungua rasmi Maadhimisho ya Siku ya Utalii Duniani yanayofanyika kitaifa mkoani Iringa na kutoa wito kwa wananchi kushirikiana na Serikali katika kupambana na Majangili kwa kutoa taarifa za...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Maghembe afungua mkutano wa kimataifa wa nchi 21 Duniani kujadili upandaji wa miti kibiashara

    Waziri wa Maliasili, Prof. Jumanne Maghembe akizungumza mkoani Morogoro jana wakati wa ufunguzi wa mkutano wa pili wa Mashirika yanayohamasisha upandaji wa miti kibiashara na uzalishaji wa mazao ya misitu barani Afrika, mkutano huo wa siku mbili umewashirikisha wajumbe kutoka nchi 21 duniani kwa...
Back
Top Bottom