Recent content by Hamsh

  1. Hamsh

    JamiiForums Tanzania El nino hii hapa pamoja na kujitolea kuisaidia serikali ila haiungi mkono juhudi za wakazi wa mtaa wa Kigogo shule, kisarawe 2

    Mvua ambazo zilitabiriwa kuanza kunyesha Oct 2026 tayari zimeanza Kwa maeneo ya mkoa wa Dar es Salaam. tulijaribu kuchangia tupate vifusi ili kuokoa mawasiliano ya Barabara ya mtaa wa Kigogo shule huku kisarawe ii, kigamboni Pamoja na juhudi za wananchi wa mtaa huu kigogo, kufanya kazi ya...
  2. Hamsh

    JamiiForums Tanzania Tunachangamoto ya barabara kigogo shule, kisarawe ii DC alifika hapa 2023 hajatoa solution Hadi leo

    Huku hatujawahi kuchekea uzembe Hadi mwenyekiti huwa hasogei kwenye mikutano
  3. Hamsh

    JamiiForums Tanzania Tunachangamoto ya barabara kigogo shule, kisarawe ii DC alifika hapa 2023 hajatoa solution Hadi leo

    Pamoja na juhudi zote za kujiandaa na mvua za El Nino wakazi wa kigogo shule, kisarawe ii, wilaya ya Kigamboni tuna changamoto ya Barabara iliyosombwa na mvua za msimu mwaka 2023 na kuachwa korongo kubwa leo michanga mwingi Hadi leo Barabara hiyo haijawahi kutafutiwa suluhu pamoja na kwamba...
  4. Hamsh

    JamiiForums Tanzania Kuna wanaume mpaka wanazeeka hawajawahi kupendwa.

    Hata maandiko ya kibiblia hayazungumzi juu ya mwanaume kupendwa Mwanaume unataka upendwe??
  5. Hamsh

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanapenda kuangalia maziwa?

    Huwa tunashangaa tu vile vitu ambavyo hatuna
Back
Top Bottom