Recent content by Hammeck

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

    Hahahaaaa akivaa safe atanusurika lakin atabiringishwa mpaka akome
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

    Kaka bomu linasambaratisha maghorofa au magari utavaa nini lisikupate. Inategemeana na distance yako na lilipotua.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mabomu yakilipuka tunatakiwa kulala chini?

    Hakuna tofauti kati ya bomu na vibande vyake. Lote ni bomu na ukweli ilivosema ni sawa na ukimwaga tone la maji chini kuna matone madogomadogo huruka juu katika Angle tofauti. Tunashauriwa kulala chin kwan vile vipande vya Bomu vitapishana angle na yako hivyo kunusurika.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hili la Kenya, UDOM mna la kujifunza

    Huyu jamaa amefikaje chuo kikuu kwa lugha chafuzi kama hiyo! Kama umetumwa wambie udom hakuna hawawezi... Kiukweli utanzania wako una mashaka
  5. H

    JamiiForums Tanzania Siasa ya Tanzania na hatma ya nchi siku zijazo

    Ndugu wadau, Nimekuwa nikijiuliza mwelekeo na mwenendo wa siasa wa nchi yangu bado sijapata majibu yakinifu. Hivi siasa ni vita? Hivi siasa ni chuki na fitna? Hivi siasa ni uadui!? Hivi siasa ina maslahi kiasa cha wasomi, wanasiasa, na viongozi wa dini kukimbilia siasa? Moyo wangu unaamini...
Back
Top Bottom