Recent content by HAMIS ISRAEL

  1. H

    JamiiForums Msaada: Vyeti kwa vyuo visivyosajiliwa NACTE

    du!inamaana humu hakuna mtu anayejua kuhusu mambo ya nacte?
  2. H

    JamiiForums Msaada: Vyeti kwa vyuo visivyosajiliwa NACTE

    Naomba kuuliza, hivi chuo ambacho hakijakamilisha usajili(Accredited insuttion) wa NACTE kina uwezo wa kutoa vyeti kama ilivyo kwa vyuo vilivyokamilisha usajili?
  3. H

    JamiiForums Nauliza tofauti ya certficate na basic cetificate?

    kuna mdogo wangu anataka achukue course ya journalism,kuna chuo nimempeleka wanasema wao wanatoa basic certificate na aldnary diplomer naombeni ufafanuzi wadau.
  4. H

    JamiiForums UKAWA wamepata wapi ridhaa ya kudai katiba ya wananchi?

    aise!! raha kweli, mpaka wapsiojua kitu wataacha kupost utumbo
  5. H

    JamiiForums Kura ya Maoni: Muundo upi wa Muungano unafaa?

    Wadau naomba ufafanuzi juu ya umuhimu wa mfumo wa serikali tatu na hasara zake pia umuhimu na hasara za mfumo wa serikali mbili,vitu ambavyo huleta mgogoro ndani ya Bunge maalum la katiba.tafadhari naomba mnijibu nipate kuelewa.
Back
Top Bottom