Anae tafutwa ni mwanamke wa kujenganae life nasio anaeangalia kipato cha mtu kwanza, so humu kama wapo wanaoangalia kipato cha m2 I CAN'T BE WITH HER cz huyo atakuwa ni mboaji naco mjengaji and dat's y wengi wao wanaishia kuchezewa nakuachika cz wanakuta vimesha jengwa na hawajui vilijengwaje
Naitwa Khamis naishi dar ni Doctor to be , Natafuta girlfriend atakaekuja kuwa my wife bdae, Awe na age kuanzia 18-24 yrs ,awe mwembamba wa wastan na ni muslim bt hata kama ni din tofauti it's k if atakuwa tayar kubadil din ili kuish na me. if upo tayar njoo PM ,my email hamijacko@gmail.com and...
kaka mfano udaktari hata ukiusomea INDIA laki ukija hapa kama uja verify cheti chako huwezi pata ajira cz hakuna atakae kutambua na ndo icho kilicho watokea hao!
unajua ustadhi kawaida ya watanzania huwa tuna penda kurahisisha v2.Ni kweli kile chuo kinafundisha mtaala wa kimataifa na mabaraza mfano baraza la pharmacy na madaktari wanakitambua kama chuo cha kimataifa na co chuo cha kitaifa sasa tatizo lililo wakumba wanafunzi wa pale ni hili hapa "kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.