Recent content by hamibenz

  1. H

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Kada gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kuliza kuhusu Ajira Portal wenye uzoefu nayo

    Mimi nimeitwa mara mbili ww mbona mkaidi dahhh Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kuliza kuhusu Ajira Portal wenye uzoefu nayo

    Pengine umeatach bt umekosea ktk zile jina. Unawezekana umeweka six kimakosa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kuliza kuhusu Ajira Portal wenye uzoefu nayo

    Mara ya ngapi ushaomba ajira humo? Hebu funguka usikazanie tu, sisi tunaosema vitu vyote tushaona sio kama tunabisha, inamaana ukishaitwa kwenye ibterview ukavitoe certified copy. Uweke vyeti original cz kama kujisajili wanaema uweke original Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kuliza kuhusu Ajira Portal wenye uzoefu nayo

    Kitoto namba 4 kwa namba ya kirume hakijasema scanned, kimesema attached, kitu ambacho najiuliza nasema pengine mwanzo watu walikua wanajisajili bati pia wanaomba manualy sio kwa portal na wao wanacjofanya nikucaopy general information na kupest.....kama ukizingatia hivo mn nimeitwa mara mbili...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kuliza kuhusu Ajira Portal wenye uzoefu nayo

    Lakini mm nineitwa inte4view mara mbili bika certified copy naweka tu origonal certificate bs Sent using Jamii Forums mobile app
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Nenda kayatafute uniletee hapa screeshot
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kushilikiana nae kuendesha app ttupige pesa

    Sitaki ushirika nataka kujua tu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mtu wa kushilikiana nae kuendesha app ttupige pesa

    Nifahamishe vzuri
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kufungua Fursa mpya

    Nimepata wazo, ndugu zangu, kama kijana una elimu fulani, mfano degree, kama unauwezo bs endelea kusoma cz kule utakutana na watu wepya unaweza kufungua fursa mpya. Kazi za kuitwa kwenye interview watu 500 anatakiwa mmoja ni kucheza kamari tu, kazi upate mtu akwambie lete CV so kila ukiongeza...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Thanks
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Ni hivi, ukiitwa kwenye interview sehemu, unatakiwa 1.)ukisome kile ulichoomba in general. 2.) Uisome kampuni husika pamoja na mission, vission zao, wapo tangu mwaka gani, uisome report yao ya karibuni ili ujue wapi waliposhindwa au wapi walipo fanikiwa- kama una muda 3. Unataliwa uzijue zile...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Alikua serious nifate inbox
  14. H

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Ndugu nafikiri hujanielewa, ww ushajua swali unalotaka kwenda kuulizwa bs haina haja, u js google na umeze tu
  15. H

    JamiiForums Tanzania Nitakushauri hapa hapa kama unainterview

    Kama uneitwa kwenye interview, na hujawahi kufanya, naweza kukushauri jisni ya kujiandaa at least ujitoe hofu
Back
Top Bottom