Mungu kaonesha ufalme wake kupitia rafiki Ili kijana wa TRA asiingie kwenye majanga ya huyu dada,, shida sio rafiki yeye mwenyewe km angeiuwa na matendo ya kumpendeza mungu..rafiki angetoa wapi habari chafu hizo...ukitenda one-day utakulipa wema wako na utenda baya one-day utakulipa ubaya wako
Habari, hii taarifa nilishawahi kuandika siku 3 au 4 zilizopita sasa baada ya watu wengi kutoelewa na kuhisi vibaya nimerudi kuweka KILA kitu wazi fursa zinazopatika kwenye msimu huu wa mavuno ya zao la ufuta.
1. Unaweza kununua ufuta Kwa wakulima na ww ukauza kwenye vyama vya msingi na...
Sivyo unavyo nifikilia ila pia lazima ufikilie ivyo coz Dunia ya Leo imejaa wizi,,, nilicho andika ni kutangaza fursa Kwa watanzania wezangu.... Naamini hii post ya wafanyabiashara wa mazao watanielewa
Je unaujua ufuta au umesikiakuhusu ufuta km unaujua Wacha nikujuze zaidi km ujui Wacha nkujuze, ufuta ni Zao linalolimwa zaidi kusini mwaTanzania mikoa ya ya Lindi na Mtwara zaidi unalimwa mkoa wa Lindi, Sasa huu ni.mwezi wa Tano Wacha nikupe taarfa za fursa ufuta,, Kwa ww Mtanzania mwenzangu na...
ila vijana chamoto kubwa ambayo inatusumbua kiasi kwamba kila dk uikumbuke ni mapenzi. vp na we unaptia changamoto ya mapenzi?
Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.