Recent content by hamasisha

  1. H

    watu hasi wanaotuzunguka

    Hapendi mafanikio yako. Huyu akisikia umefanikiwa jambo la heri au hata wazo la kimafanikio ataumia Sana. Furaha yake uwechini yake au mlingane. Huyu ukimpelekea wazo akushauri andika umepoteza mda. Na watu Hawa wengi ni marafiki zetu au ndugu wa karibu Hakupendi, akikuona anahisi...
  2. H

    Je, biashara ni mkombozi kwa wanafunzi watakao kosa mikopo?

    Upo Sawa mkuu hizi nyakati akili hazitakiwi Kulala.
  3. H

    Je, biashara ni mkombozi kwa wanafunzi watakao kosa mikopo?

    Dalili zinaonesha upatikanaji wa mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu ni changamoto. Mitazamo ya nje ya box yamkini itasaidia.
Back
Top Bottom