Ni Laptop aina ya DELL Latitude D630
ipo katika hali nzuri kabisa
Specifications :
Procesor = 2.20GHz
Ram = 2GB
HDD = 232 GB
Bei 290,000
Nipo Dar es salaam ( Mikocheni )
Contact : 0715553166
Jamani mimi ni kijana wa Tanzania. Ni kibarua tu kwenye kiwanda fulani hapa jijini jijini Dar es salaam. Mateso, manyanyasa, kutothaminiwa na ubabe ndivyo vilivyonifanya nitamana kuwanong'oneza kitu viongozi fulani ambao ni Mheshimiwa Halima Mdee ( Maana kiwanda hiki kipo jimboni mwake ) lakini...
Kwenye kiwanda cha Cocacola Kwanza kilichopo mikocheni kwasasa hali si shwali kabisa kwa vibarua.
Hapo awali kibarua alilipwa shilingi elf tano kwa siku. Overtime akapewa shilingi 2800. Hivyo kibarua kwa siku akawa analipwa shilingi 7800 ambayo analipwa kwa wiki ( jumatatu )
Mwaka jana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.