Recent content by Hamad Mkekena

  1. H

    Tunaichukia CCM but CHADEMA wakishachukua nchi tutalia na kusaga meno...

    ni mawazo tu jaman 2cjenge chuki,tz ni yetu!kila mtu/chama ana haki ya kuongoza nchi bila kuangalia kabila,rangi,tuipende nchi yetu,hata km utakuwa UDP utaijenga endapo utaipenda nchi yako'
  2. H

    Muungano uwe wa nchi moja

    we ni mpemba asilia,mkivunja muungano na zanzibar inameguka vpande vwili unguja na pemba...
  3. H

    Muungano uwe wa nchi moja

    2nazungumzia muungano,sio mji mkuu!
  4. H

    Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

    2sicomment ki2 ambacho huna uhakika nacho,lazma yeye mwnyewe akiri km ni CV yake,c o 2nacomment tu busara inahitajika!
  5. H

    Wasifu wa Dkt. Hussein Mwinyi utata mtupu!

    Dah! Hii aibu xaxa!
  6. H

    James Millya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa Arusha ajivua GAMBA akimbilia Chadema

    busara na umakini mkubwa unahitajika ktk kuwaangalia wanachama wapya ambao wanatoka chama kijani isije ikawa ndio njia ya kuangamiza mshikamano na umoja ndani ya CDM,NI HAYO TU!
Back
Top Bottom