chitanda.nyoka
Senior Member
- May 3, 2012
- 193
- 43
Kutoka moyoni naichukia sana CCM kutokana na uozo wa baadhi ya viongozi wake lakini mbali na kasoro hizo za CCM bado sijaona chama ambacho kina uwezo wa kupigania maslahi ya watanzania sababu huko CHADEMA ambacho tunafuata mkumbo kukishabikia hakina tofauti na CCM maana chama hiki kimejaa udini na ukabila wanajifanya wao wasafi hawana lolote kudhihirisha ukabila na undugu ndani ya CHADEMA tuangalie viti maalum walivyoweka ndugu na mademu zao hata hao viongozi wanaosumbua katika CCM kutokana na tuhuma za ufisadi ni hao wa kaskazini na leo tunataka tuwape nchi ok ila tutamkumbuka baba riz1 kama tunavyomkumbuka Mkapa maana CHADEMA ndio mtaharibu kuliko baba riz1 na sasa hivi wameanzisha movement 4 chaga(M4C)