Huyu naitaji kujua elimu yake jmni maana anatumika kisiasa kesi ya mafisadi hapeleki mahakamani mwigulu amekuwa akimpeleka balaa kama mtoto wake anadhalilisha taaluma ya sheria ajiuzulu mara moja hyo
R.i.p kaka yetu tutakukumbuka cna kwa wema wako juzi mdgo wake salva alipata ajali nafuso lkni anaendelea vizuri mungu awatie nguvu jmni katika wakati mgumu mliokuwa nayo r.i.p kaka yetu
Wewe unataka mapato namatumizi umedata wewe gamba fanya mapato na matumizi ukiwa na wife wako chumbani unaacha kagua ufisadi wa mabilion kwenye ccm yenu majangili wakubwa nyie mnaanza fatafata cdm kajipange upya uje umevaa mini tukupe mapato na matumizi
Huu ni usanii mtupu ccm wanakwenda pitisha shauri wako wengi bungeni natoa rai kwa watanzani cmccm wakipitisha tozo hyo msiwachague 2015 hawana huruma na watanzania
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.