Kama ni ukweli lazima aseme sio kiki. Huu ni ukweli kwani Sitta alikua kama baba yake Makonda. Ni kweli alimsimamia mambo mengi sana na alimsaidia kufika hapo alipo.
Ame Taasisi ya Wanyamapori (TAWA) haina meno na inapigwa vita isianze maana haina fund na Tanapa wenye fedha ndio wana nguvu ya kuamua. Tawa ilikua iwe kama regulatory authority kwa sekta ya wanyamapori na Mwenyekiti wake wa bodi aliteuliwa Jenerali Semfuko, ambaye hajapewa meno hadi leo tokea...
Hiyo hifadhi iko chini ya Tanapa? Gen. Waitara ana kazi kubwa sana ya kusafisha hilo shirika maana kuna mambo ambayo yanafunikwa na nadhani asikubali kujiharibia heshima yake kwa kuwaacha wahusika wa kweli bila kujali nasaba zao na wakubwa.
Usituingize kwenye plan B ya Magembe na watu wake. Rais JPM anajua anachokifanya bila kujali Ikulu kuna Kijazi katibu mkuu wake. Hapa ataangalia tu facts za vyombo vyake kuteua anayemfaa. Na tusije kushangaa hata Jenerali Mwingine anakua Waziri wa Maliasili.
Hoja hujibiwa kwa HOJA:
Hivi karibuni kumekuwepo na taarifa katika baadhi ya vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi, ikiwa ni pamoja na mitandao ya kijamii vikizungumzia hali ya dawa nchini hasa kufuatia taarifa zilizotolewa na taasisi ya kiraia na baadhi ya viongozi wa vyama...
RC wa Arusha Mrisho Gambo ameagiza kufanyika ukaguzi ukaguzi kwa matumizi ya Fedha walizopewa wafugaji kwa kipindi cha miaka mitano maana malalamiko ya matumizi mabaya ya fedha yamekuwa mengi.
“Ikumbukwe kwamba Baraza Hilo la wafugaji la Ngorongoro linapewa zaidi ya TSH 2.5 Billion kila mwaka...
Jamani lets be serious.. hao milioni 45 unaowazungumzia wako wapi? Musitumie vibaya takwimu maana ndani ya hizo 45m yumo Magufuli, Majaliwa, Mwigulu, IGP Mangu na vijana wake nchi nzima; sasa hiyo idadi unayoitaja ni ipi?
Uchaguzi wa mwaka huu pamoja na hekaheka zote za UKAWA, Chadema walipata...
Sasa alikua hajui kuwa zimeshanunuliwa na alisema hazina wachukuliwe hatua. Sasa anaambiwa alikua hajui kuwa zimeshatoka 1.6bn. Anasema hata hivyo hatua???? Tena hata bila kwenda ofisini kufanya verificatio
Unaweza kukuta leseni ni ya shaba lakini wanachimba dhahabu na madini mengine. Lakini pia kwa historia baadhi ya wahusika wanahusishwa na ujangili wa tembo na hapo wanapotaka kuchimba kuna tembo wengi waliopata hifadho kutokana na ulinzi wa magemu wanaopata support ya helikpta za Wamarekani sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.