Habari wakuu,
Samahani nimepata tatizo la laptop yangu kustop kwenye welcome screen kila nikijaribu kuzima na kuwasha inaaishia hapo hapo. Nikifanya system repair inasema disk imepata tatizo. Nauliza kama naweza kupata solution ya hilo tatizo maana vitu vilivyomo ndani ndio muhimu sana.
Ambae...
Habari wakuu wa jukwaa la elimu.Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Science in Accounting and Finance.Nimemaliza mwezi uliopita,natarajia kufanya CPA May mwakani.Naomba ushauri wa short course ambayo ninaweza kusoma kwa kipindi hiki ambacho bado sijapata kazi.Short course ambayo itaadd value kwenye...
Habari wakuu,
Nina shida ya kupata ufahamu wa lugha tajwa hapo juu,naomba maelekezo ya centre ambazo wanafundisha kwa hapa Dar ikiwezekana na direction zake na mawasiliano pia.
Nawasilisha.
Asante
Habari wakuu,
Nimepata tatizo moja kwenye Account yangu ya Facebook inashare video chafu na kutag marafiki zangu,inakuja kuappear kwenye timeline yangu.Watu wanakuja kunilalamikia.Naomba msaada wa kufix hili tatizo kwa maana nareport ila bado hakuna lolote lililofanyika.
Naomba msaada kwa hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.