Ikiwa Jaji/Majaji, Mwanasheria Mkuu pamoja na Msajili wa Mahakama wameteuliwa na M/Kiti wao nao ni mali ya CCM na nilazima watekeleze matakwa yao kwa kufuata ilani ya CCM na siyo Katiba ya Nchi. Wamekiri hadharani leo wenyewe.
Tukisema Mahakama zetu haziko huru tunatekwa na kupotezwa na hao hao...
Mh Lisu alishawahi kusema, yeye alishahukumiwa kifo wakati wa Utawala wa awamu ya tano. Huyu mnaemuona ni Mungu pekee mwenye siri ktk kuurejesha uhai wake tena duniani. Na kamwe hatatulia na kama ikiwezekana basi waje wamalizie kazi aliyoianzisha Magu.
Tatizo kubwa kwake ni kwamba hajawahi kuonyesha hata chembe ya majuto kwa mauaji yale ya maelfu ya Watz wenzake. Yeye hujigamba kuwa ametuliza ghasia nchini.
Ona aibu hii sasa. Anawezaje kuketi na Marais kujadili Demokrasia ndani ya SADC wakati akijuwa wazi kuwa yeye ni zao la ukandamizaji wa...
Najiuliza hivi, anajisikiaje Rais aliyepatikana kwa uongo na uporaji wa kura kisha kujitangaza mshindi, huku akifahamu fika hakuchaguliwa na raia wake. Wakati huo huo anaketi meza moja na Maris wengine waliopatikana kihalali kupitia kura za wazi zilizopigwa na raia wa nchi zao?? Mbaya zaidi hao...
Asante sana Mkuu. Yaani mtoa mada ni wa ahabu sana. Asifikiri wote ni kama yeye.
Yaani upande uliosababisha matatizo makubwa kwenye nchi yetu wao wasiwajibike kwa maafa waliotuletea kwenye taifa letu. Msimamo ni ule ule iundwe Kamati itakayosimamia serikali ya mpito, tupate katiba mpya kisha...
Mkuu kuna jambo hulijui. Unafikiri Yuda janakaongea kwa bahati mbaya? Unafikiri Yuda yuko peke yake? Je unafahamu nani yuko nyuma yake?
Kuna mtego umeshawekwa unasubiriwa ufyatuke mtu anase humo.
Kuanzia J3 next week kuna uwezekano mkubwa wa kuanza migomo kwa Wahadhiri ndani ya Vyuo Vikuu Tanz. Kitakachofuata ni maandamano toka kwa Wanafunzi wote wa Vyuo vya Elimu ya Juu nchini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.