Recent content by Hakwea

  1. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Baharia; (Ujasusi, Mapenzi na Upelelezi wa kutisha)

    Naaam kazi nzuri mkuu Kudo
  2. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Baharia; (Ujasusi, Mapenzi na Upelelezi wa kutisha)

    Taharuki imetanda. Kazi nzuri Kudo
  3. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Baharia; (Ujasusi, Mapenzi na Upelelezi wa kutisha)

    Kazi nzuri sana hiii
  4. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    ZAWADI YA ADHABU SEHEMU YA MWISHO Nimefundishwa kuwa… Si lazima uanze kila jambo likiwa katika ubora mkubwa. Hata magwiji wa elimu wanaamini kuwa, awali yaweza kuwa na changamoto zake nyingi tu. Lakini, daima lenga kuhitimisha kila jema unalolifanya kwa mafanikio makubwa. Azimia kuwa, ni...
  5. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    ZAWADI YA ADHABU SEHEMU YA KUMI NA MOJA imefundishwa kuwa… Mambo mengi yanayotuponza ni yale ambayo tunayafanya kwa kuwa ni ya hiyari. Kama mambo yote yanayotuzunguka yangalikuwa ni sheria, tena zisizotupa hiyari ya kuzitii ama la, huenda, narudia tena, huenda, kila kitu kingekuwa tulivu zaidi...
  6. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    ZAWADI YA ADHABU SEHEMU YA KUMI ****** Nimefundishwa kuwa… Sio lazima ujichanganye na watu wote muda wote. Kila binadamu ameumbwa na namna fulani ya hali inayomfanya wakati fulani atake kuwa peke yake tu. Hii ni kawaida kabisa hata kwa sisi wengine, sio kwako tu!! Unapoona kuwa inakulazimu...
  7. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    ZAWADI YA ADHABU SEHEMU YA TISA ****** Nimefundishwa kuwa… Sio wote utakaokutana nao na kuwatendea mema watayakumbuka mema hayo maisha yao yote. Na tena, sio wote wote ambao utawaonesha ukarimu wako siku moja watakulipa kwa kukuonesha ukaribu utakapohitaji. Kukumbuka fadhila nacho pia ni...
  8. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    ZAWADI YA ADHABU SEHEMU YA NANE Nimefundishwa kuwa… Kesho ni siku nzuri sana.. Huenda ikawa ni kweli au isiwe kweli, na hilo si la muhimu sana. Lililo la muhimu ni kuwa, kesho; ingawa inaweza ikawa ni nzuri au vinginevyo, lakini itafika. Ikiwa itafika ikiwa nzuri, tutaifurahia na ikiwa itakuja...
  9. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    ZAWADI YA ADHABU SEHEMU YA SABA ****** Nimefundishwa kuwa… Kama vile nywele ziotavyo pasipo sisi wenyewe kujua mwenendo wake, au kama vile tunavyoendelea kukua pasipo kuweza kuamua ni kasi gani tuitumie, ndivyo hivyo mawazo yetu yanavyokua. Ujinga mdogo unaoupalilia leo unaendelea kukua...
  10. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    ZAWADI YA ADHABU SEHEMU YA SITA ****** Nimefundishwa kuwa… Hakuna kisichowezekana kabisa duniani.. Kule kukifikiria kit utu hata kisichokuwepo ni dalili kuwa kuna nafasi ya kukifanya kiwepo. Lakini, kuna gharama katika kile unachotaka kiwezekane. Ni pale tu tunapoogopa gharama za kuvifanya vitu...
  11. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    *SIMULIZI YA MAISHA: ZAWADI YA ADHABU* *MTUNZI: TIMOTHY PETER MSUYA “KIRAKA”* *Mawasiliano +255 763 305 605* *Nimefundishwa kuwa…* _Waliosema kuwa hakuna ajuaye kesho wala hawakutumia akili kubwa kiiiivyo kulitambua hilo. Hata dakika tano tu zijazo hakuna azijuaye. Hili si la kujadili...
  12. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    *SIMULIZI YA MAISHA: ZAWADI YA ADHABU* *MTUNZI: TIMOTHY PETER MSUYA “KIRAKA”* *Mawasiliano +255 763 305 605* *Nimefundishwa kuwa…* _Historia wanaandikiwa washindi tu! Hakuna historia yoyote ya waliowahi kushindwa. Daudi alipigana na Goliathi, akamshinda, na historia yake ikaandikwa kwa...
  13. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    *SIMULIZI YA MAISHA: ZAWADI YA ADHABU* *MTUNZI: TIMOTHY PETER MSUYA “KIRAKA”* *Mawasiliano +255 763 305 605* *Nimefundishwa kuwa…* _Kama kungekuwa an kanuni moja tu ambayo kwa kuifuata maisha ya binadamu yangekuwa ya kuvutia zaidi, huenda ingekuwa ndiyo kanuni ngumu kuliko zote katika masomo...
  14. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    *SIMULIZI YA MAISHA: ZAWADI YA ADHABU* *MTUNZI: TIMOTHY PETER MSUYA “KIRAKA”* *Mawasiliano +255 763 305 605* *Nimefundishwa kuwa…* _Hakuna gharama yoyote unayoitumia kumwamini mtu mwingine. Unachokihitaji ni akili za kujua ni sehemu gani katika wengine unayoiamini. Hii ni kusema tu kwa lugha...
  15. Hakwea

    JamiiForums Tanzania Simulizi: Zawadi ya Adhabu

    *SIMULIZI YA MAISHA: ZAWADI YA ADHABU* *MTUNZI: TIMOTHY PETER MSUYA “KIRAKA”* *Mawasiliano +255 763 305 605* *Utangulizi* [Kisha nikarudi tena, na kuona ubatili chini ya jua. Kuna mtu aliye peke yake, wala hana wa pili wake; naam, hana mwana wala ndugu; hata hivyo amali yake haina mwisho...
Back
Top Bottom