Recent content by hakusulubiwa

  1. H

    JamiiForums Tanzania Lukuvi, mbio za sakafuni huishia ukingoni; jitafakari

    Sure, aka endeleze chuki zake za kidini huko kanisani. Na hii ndio sbb kuu ya kutupwa nje.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wana maisha mazuri kuliko watu wa bara

    Darasa la saba ?????
  3. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo sasa njia nyeupe kwenda Ikulu 2025

    Mmmh
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Zanzibar wana Makamu wa Rais wa Kwanza na wa Pili?

    Hawawezi wakati ndio Serikali iliyopo kwa wakati huu. Wewe upo lakini?
  5. H

    JamiiForums Tanzania Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Looh kumbe huku Tanganyika kuna udini kiasi hiki? Kwani anatakiwa ku-apply ukiristo huko kwa muhimu wa Katiba??
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ujumbe Wa leo Asubuhi Kwa wanaume

    Si kwa waislam tu wenye kuowa wake wengi.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Funua Kawa Mwana Halali Asimame! - Mwanamapinduzi HAMID AMEIR

    Yaani kama hupo duniani vile
  8. H

    JamiiForums Tanzania Umasikini wa watanganyika umesababishwa na CCM sio wazanzibar

    Pamoja na hoja yako nzuri naomba unisaidie hapo kwenye red. Hivi Tanganyika inachangia kiasi gani katika muungano, hebu tupe takwimu taadhali kwa faida ya wanajamii.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Picha: Kibali cha Leseni ya Gari kwa Mtanganyika akiwa Zanzibar

    Usijitukanishe, ukawatukanisha na Watanganyika wenzako, Tumekustaarabisheni, tumekufundisheni kuzungumza bali hata kuvaa nguo, unawatukana Wazanzibari na lugha yao asilia, wewe mwehu, na hujitambui.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Picha: Kibali cha Leseni ya Gari kwa Mtanganyika akiwa Zanzibar

    Usitishe watu wazima huongei na watoto wa chekechea.
  11. H

    JamiiForums Tanzania SERIKALI MBILI HAZIEPUKIKI (Majibu kwa Bw.Omar Ilyas)

    Kutoka kwa Abdulrahman Mohamed INAWEZA KUJITEGEMEA? Muelekeo wa Makala ya Habari Leo ambao ni wazi Omar Ilyas anauunga mkono kama silaha yake dhidi ya mabadiliko katika muungano ni kuwa Zanzibar inafaidika na Muungano kwa kutochangia, na by implication haitaweza kujiendesha yenyewe. Ndio maana...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kardinali Polycarp Pengo ahofu Serikali Tatu zitavunja muungano!

    Huyu mzee ni islamphobia, na ndicho kinachomsumbua basi. Lakini naona atapata presha bure...wamejaribu kuizibia znz kwa muda wote huo, sasa hawana jinsi tena
Back
Top Bottom