Recent content by Hakuna anayejali

  1. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Huu ni msimu wa uuzaji mahindi na wanunuzi wakuu ni serikali, lakini nimetembela maghala kadhaa hakuna mashine ya kupepeta

    Huu ni msimu wa uuzaji mahindi na wanunuzi wakuu ni serikali, lakini ajabu nimetembela magodawni kadhaa hakuna mashine ya kupepeta taka kama hii hapa chini. Wanatumia sefa za waya ambazo kwa kutwa sefa moja haimalizi tani30 lakini hiyo mashine inarahisisha kazi kwa kutwa inamaliza tani90...
  2. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

    Na kwenye mabup wanefunga kamera sasa tukienda kuburudika wanatuchora tu,hadi tunakosa uhuru wa kushika huku😄😄 tunaibgia room kamera zinatusindikiza hadi noma.
  3. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

    Duh. Sasa unaniponda tena!!
  4. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

    Hiiii🙆
  5. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

    Kamera ndg
  6. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

    Oya kuwa siriaz
  7. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

    Kwa kiswahili tafadhali.
  8. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania KERO Ukiwa na mkopo Songesha hupati mkopo benki

    Hiiii🙆🙆
  9. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Kwanini mnatupiga picha bila ridhaa yetu?

    Unapita mtaani usiku mida ya saa2au sa4 usiku ghafla kamera inatowa mwanga mkali kumbe kamera inatupiga picha si poa. Yani tunarudi kwetumakamera yenu yanatuphotowa jamani!!!!.
  10. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Soma hapa uelewe vizuri kwanini msafara wa Rais unakuwa na magari mengi

    Kwahiyo waziri mkuu wa uingerrza,au Rais Biden wao wanawezaje kufanya ziara bila convoy kubwa?
  11. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Serikali, kemeeni mila potofu ya Wamasai na Wasukuma kuposa watoto wakiwa wadogo

    Ni aibu kweli Ni aibu kweli🤦
  12. Hakuna anayejali

    JamiiForums Tanzania Serikali, kemeeni mila potofu ya Wamasai na Wasukuma kuposa watoto wakiwa wadogo

    Mambo haya yapo sana umefika mahala waoaji na waozeshaji wakaona fahari.Serikali iwe siriazi.
Back
Top Bottom