Recent content by Hakuga

  1. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Msaada: App ya kudownload mp3 and video au movies

    thanx Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  2. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Msaada: App ya kudownload mp3 and video au movies

    Msaada mwenye kujua android app ya uhakika ambayo itanisaidia kudownload mp3 music au videos mbalimbali kwenye simu. Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
  3. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Shoo ya Toyota Nadia

    msaada jaman punguzeni vtuko
  4. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Shoo ya Toyota Nadia

    sema tu bro
  5. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Shoo ya Toyota Nadia

    poa
  6. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Shoo ya Toyota Nadia

    nashkur.. ila nipo tanga so bahat mbaya cjapajua hapo town gerezani
  7. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Shoo ya Toyota Nadia

    wakuu salama? nahitaji shoo ya nadia .. hicho kipande cheusi chenye logo ya toyota.. niko tanga . huku nimekosa. naomba connection ya huko town kama kuna mtu anauza ili tuwasiliane ninunue.whatsap 0674 149565.
  8. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Nissan Dualis: Msaada mwenye uzoefu na hili gari naomba ufafanuzi

    jaman nafikilia kuinunua hii gari lakn sijaifahamu vizur. cjafahamu ulaji wake wa mafuta i mean kwa lita moja inatembea km ngapi? tatizo lake sugu ni lipi na uzur wake ni upi? bado naumiza kichwa kupata majibu sahihi.
  9. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu magodoro ya TANFOAM

    nashkuru sana
  10. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu magodoro ya TANFOAM

    salama wakuu? jamani nataka kununua godoro toka kampuni ya tanfoam. nataka kujua lipi bora kati ya 6*6 nchi 8 na 6*6 nchi 10. lipi linafaa zaidi?
  11. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

    ha haaah... typing error? bei ni 320000 laki tatu na ishirin kwa dirsha moja
  12. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

    mmmmh hatar sna... basi nadhani huyu fundi wngu pia atakua yuko sahihi
  13. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

    mkoa tanga mjini
  14. Hakuga

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama gharama hii ya dirisha la kioo ni sahihi

    ok nashkuru sana
Back
Top Bottom