Recent content by HAKIELIMU

  1. H

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa kipaumbele ni Usafi na sio kujengewa barabara za lami

    Hapo umeongea pumba,,kwenye mapenzi wanawake wote hata mkeo ni mwepesi tuu...Watani hawako hivyo mimi nawajua.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa kipaumbele ni Usafi na sio kujengewa barabara za lami

    Nalo neno.Nyie kama wazungu maana nao kutahiriwa hawataki,,Ndio maana mna akili sana..ngoja na mimi nijaribu kwa mwanangu. \
  3. H

    JamiiForums Tanzania Wanyakyusa kipaumbele ni Usafi na sio kujengewa barabara za lami

    Nakubaliana na wewe,Wanyakyusa nimekaa nao,Ni wasafi saana,pia wamesoma na wengi wao ni wacha Mungu saana,Ila huwa hawajengi kwao na siyo wanafiki,,wao kwao nyeupe ni nyeupe.Kuhusu mengine ya kutahiriwa mimi sijui kwasababu huwezi jua undani wa mtu wa mwili wake labda uwe mtu wa chabo.Binafsi...
  4. H

    JamiiForums Tanzania CAG sio Muongo kwa vigezo hivi

    LUGOLA HAFAI HATA KUONGOZA KUKU WA KISASA.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kuwaondolea wanajeshi kodi kwenye bidhaa utazamwe upya

    w WEWE TUPO PAMOJA.HUYO MWANAJESHI ANAYELALAMIKA HANA MAADIRI YA KIJESHI.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kuwaondolea wanajeshi kodi kwenye bidhaa utazamwe upya

    Hata Raia ni wanajeshi sema hawana authority ya kushika silaha tuu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Huu ndio uhuni ambao unafanywa na watu wa mwenge

    Kazi yao wao ni kula posho tuu,Watanzania wataendelea kuwa maskini kwasababu ya kukumbatia uchawi kama Mwenge.mwenge hauna maana yoyote.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kutoka ICU hadi hapo alipo

    PEPO CHUMA CHINI.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kutoka ICU hadi hapo alipo

    HUYU NI MTUMISHI HUYU NI MTUMISHI WA MUNGU NA NDIYO MAANA ALIPONA ALIPOPIGWA RISASI NA WAJINGA WASIOITAKIA MEMA NCHI HII.
Back
Top Bottom