Recent content by Haki ni haki

  1. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    Majina ya awamu ya pili viti maalumu CHADEMA 1.Grace Tendega 2.Sophy Mwakagenda 3.Suzy Lyme 4.Matrida Morandi 5.Lucy Magerele 6.Suzy Peter 7.Cecy Paresso 8.Concesta Leyuiza 9.G.Kiwelu 10.Lucy Kiyobi 11.Devo MINJA 12.Joyce Fotombi 13.Rose Kamati 14.Yosefa Komba 15.Upendo Peneza...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    .Grace Tendega 2.Sophy Mwakagenda 3.Suzy Lyme 4.Anotropia 5.Lucy Magerele 6.Suzy Peter 7.Cecy Paresso 8.Concesta Leyuiza 9.G.Kiwelu 10.Lucy Kiyobi 11.Devo MINJA 12.Joyce Fotombi 13.Rose Kamati 14.Yosefa Komba 15.Upendo Peneza 16.Gimbi Kinyanda 17.Aida 18.Dr.Swale Sesemi 19.Suzy...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    chadema vipi hii ni kweli
  4. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    mmmmmmmmmmmmm noma sana
  5. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    sasa nafikiri mtakubariana na mimi , chadema kuchukua nchi bado sana,kwa mfano ukimeangalia mtu kama Devota minja.kwanii hasa kateuliwa, lakini sio kwamba akuna wapambanaji kati ya hawa. ninachokiangalia ni plan gani chama kina panga kupambana na ccm, sioni. ninachokiona ni vijana kutumiwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya Wabunge Viti Maalum hadharani: CCM-64, CHADEMA-36, CUF-10

    kifo cha chadema sasa kimefika kamakweli majina hayo, ni kweli. nawea kuona kabisa ACT inakwenda kuwa chama cha kikuu unin..ni
  7. H

    JamiiForums Tanzania Ukawa bado ngoma ngumu... wagombania majimbo

    Fanya siasa kubali ukweli ukawa tunachemsha sasa.kubali kukosolowa ngoma nzito kugawa jumbo kwa chama kisicho hata na ofisi noma
  8. H

    JamiiForums Tanzania Mbowe na Lowassa yawezekana wakawa tatizo CHADEMA

    Watanzania huenda wakijua biashara ya Mbowe na Lowassa watajiona wanavyo fanywa wajinga. Na zaidi wanachama wa CHADEMA, Mbowe sasa ni Mungu mtu ndani ya chama kiasi cha kuwanyima haki ya kuwachaguwa wabunge wanao wahitaji katika majimbo yao. Wakati majimbo ya Kaskazini akigawana na marafiki...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wa CCM kulikabidhi jimbo la NKENGE mikononi mwa Meshack Mucus CHADEMA octoba

    Tusubiri kuna vichwa vya kutosha sio huyo an aye jinadi kwenye mitandao. Mwambieni atuache sisi hapa mwanza akapambane apeleke maenxeleo ya mtandao ili ...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wa CCM kulikabidhi jimbo la NKENGE mikononi mwa Meshack Mucus CHADEMA octoba

    Ubavu wako mdogo katika hili
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge Wa CCM kulikabidhi jimbo la NKENGE mikononi mwa Meshack Mucus CHADEMA octoba

    Wewe meshaki unachekesha sana. Usijifanye unauwezo gain?hata majirani zako uwajui. Kwa sasa Nkenge tunataka mbunge mwenye maono. Tumekusikia malanyingi unajigamba mwenyewe tu. Kama siasa unaiweza ya kuwakomboa wana Nkenge. Achana na siasa za mitandao nenda kapambane name watia nia wenzio a cha...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Nkenge, Asumpta Mshama lazima ung'oke 2015!

    Kamala usidanganywe Nkenge uwezi kutoboa yupo Valerian anatisha zaidi ya jinsi ulivyo wahi sikia. Jifunze kucheza ngoma.
  13. H

    JamiiForums Tanzania sasa chadema wana uhakika

    Kwa salsa Cdm imeongezewa nafasi ya kuingia ikulu
  14. H

    JamiiForums Tanzania kama unaunga mkono hoja. 100% .lakini inatoka wapi?

    Hili nijambo ambalo nafikiri . labda ni shida. Ya maneno ya kiswahili hii noma sana. Ukawa njia hipo wazi kuelekea ikulu.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Moto wa ACT-Wazalendo kama umepungua vile

    Act.... Watafanya vizuri pale ukawa itashindwa kujua democrasia name kugawana majimbo kama CCM wanavyo peana ubunge kama zawadi
Back
Top Bottom