Recent content by Haki na maendeleo

  1. Haki na maendeleo

    #COVID19 RC Makalla, wananchi jitokezeni kupata chanjo

    Chanjo si wamesema ni hiari??? Mbona kulazimishana???
  2. Haki na maendeleo

    UVCCM: Viongozi CHADEMA hawajui tofauti ya Uhuru wa Mahakama, Utawala Bora na Uongozi wa Kiimla

    Ccm kiufupi tumeichoka tu!!! Hawana jipya la kutuambia watanzania
  3. Haki na maendeleo

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    Mm Mm nimekaa Kenya mkuu, huwezi nidaganya kitu!! Umeme mpaka vijijini, lami mpaka vijijini, mpaka mabwawa wamechimbiwa vijijini, mpaka vyoo vipo mpaka visimani!!! Usinidanganye kabisa mkuu kuwafikia wakenya leo labda miaka 50 ijayo sio leo
  4. Haki na maendeleo

  5. Haki na maendeleo

    Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

    Acha mawazo ya kihistoria, vitabu vya shuleni vinakudanganya!! Kumbuka hivyohivyo vitabu haviamini uuumbaji wa mwanadamu,!!
  6. Haki na maendeleo

    Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

    Ufunuo wa Yohana 21:1 Kisha nikaona mbingu mpya na nchi mpya; kwa maana mbingu za kwanza na nchi ya kwanza zimekwisha kupita, wala hapana bahari tena. Ufunuo wa Yohana 21:2 Nami nikauona mji ule mtakatifu, Yerusalemu mpya, ukishuka kutoka mbinguni kwa Mungu, umewekwa tayari, kama...
  7. Haki na maendeleo

  8. Haki na maendeleo

    Picha: Mbunge wa Mlimba akikagua Daraja la Sh. Milioni 31 lilojengwa kwa miti

    Mambo ya ajabu sana haya. Alafu ndo wanasema eti hamna hela kweli! CCM tumewachoka hamna aibu jamani, kukagua daraja la miti miaka hii? Watanzania nani katuroga? Tunahitaji katiba mpya!
  9. Haki na maendeleo

    Askofu Mwamakula Atangaza siku saba mfululizo za maombi kumshitakia Mungu juu ya uonevu aliofanyiwa Freeman Mbowe

    Sasa wewe sema anamuomba Mungu!! Kama maombi yake mwaka jana yalijibiwa unafikiri saivi hayatajibiwa???
  10. Haki na maendeleo

    #COVID19 Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Ufunuo wa Yohana 13:16 Naye awafanya wote, wadogo kwa wakubwa, na matajiri kwa maskini, na walio huru kwa watumwa, watiwe chapa katika mkono wao wa kuume, au katika vipaji vya nyuso zao; Ufunuo wa Yohana 13:17 tena kwamba mtu awaye yote asiweze kununua wala kuuza, isipokuwa ana chapa ile...
  11. Haki na maendeleo

  12. Haki na maendeleo

    #COVID19 Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Hii hoja dhaifu sana, kwa hiyo kipindi cha magufuli hao TMDA hawakuepo? Dozi 1000,000 ndo wanafanyia utafiti kwa siku 4?
  13. Haki na maendeleo

    #COVID19 Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Hii hoja dhaifu sana, kwa hiyo kipindi cha magufuli hao TMDA hawakuepo???? Dozi 1000,000 ndo wanafanyia utafiti kwa siku 4????
Back
Top Bottom