Recent content by HAKI KWA WOTE

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kama ndoa ni agizo la Mungu na si makubaliano ya watu wawili kwanini viumbe wengine hawafungi ndoa?

    Wewe umeshuhidia njiwa akifunga ndoa ebu tupe ushahidi ndoa moja ya njiwa hata picha tu au cheti walichopewa baada ya kufunga ndoa kanisani,bomani,msikitini au kimila. Usiwe mtu wa kudandia magari kwa mbele kama huwezi kufikiri kwa kina kwa kutumia akili yako ni bora ukar kimya
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ili ndoa zidumu sheria ya ndoa itamke atakayesababisha ndoa kuvunjika asioe au kuolewa tena

    Kwani drone inatengezwa na akili zipi?tatizo ni ufikiri mdogo kama mwanaume akimpa mimba mwanafunzi kwa ridhaa yake anafungwa miaka 30 je hiyo nia akili ya kutengeneza drone?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Ili ndoa zidumu sheria ya ndoa itamke atakayesababisha ndoa kuvunjika asioe au kuolewa tena

    Hakuna kitu zinaa duniani kwani kuna watu wanawake 20 je hiyo ni zaa?kilichopo duniani kwa viumbe wote ni "sex"kwaajili ya kikazi chao
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ili ndoa zidumu sheria ya ndoa itamke atakayesababisha ndoa kuvunjika asioe au kuolewa tena

    Tujitafakari! Ikiwa mtu akisababisha ajali au makosa lesni yake inafungwa ili kutoa nafasi ya kujirekebisha au kujutia umefika wakati sasa hata cheti cha ndoa kitambulike kama leseni mtu akisababisha ndoa kuvunjika kwa sababu zinazokera kama ugoni na kutelekeza ndoa basi afungiwe kuoa au...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Kama ndoa ni agizo la Mungu na si makubaliano ya watu wawili kwanini viumbe wengine hawafungi ndoa?

    Tujitafakar! Wafia dini wengi wanaamini ndoa ni agizo la Mungu kwa watu wake sasa iweje wengine waoane na wengine wasioane? Na kwanini serikali ziingilie NDOA wakati tayari ni agizo la Mungu kwa watu wake? Kwanini ndoa iwe kwa watu tu na siyo kwa viumbe wengine wanaoishi na bado wanafanikiwa...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?

    Kitu kinachosimamia hili ni mahusiano yao hasa kwa mtu kuwa na uwezo wa kumhudumia mnyama kwa kumjali na kumuelekeza jinsi ya kuishi naye kuanzia utoto wa mnyama ndiyo maana ni vigumu kumchukua mnyama kutoka porini akiwa mkubwa na kumfuga kirahisi lazima watashindwana tu na aidha mnyama...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kama biblia na quruan ni vitabu vya Mungu vilivyoshushwa je Mungu ndiye aliyefanya hayo marekebisho?

    Hivi kwa akili yako kama Mungu aliumba ulimwengu huu na viumbe vyote kwa wakati mmoja angeshindwaje kuvishudia/kuvifunulia viumbe vyote ulimwenguni hayo matendo yake kwa wakati mmoja aweze kuwashuhudia wazungu na warabu tu hayo matendo yake?jiongeze ktk ufikiri acha kutetea omani jikite kwenye...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kama Adam na Hawa walikuwa weupe; Je, MWAFRIKA alitoka wapi?

    Hayo maandiko wewe yamekusaidia nini kama siyo kufifiza ufikiri wako? Mwenye akili kisoda ni wewe usiyejitambua kwa kutodadisi mambo ili kupata mwanga siyo kuishi kwa kuamini ujinga ulioandikiwa wakati waliokuandikia ujinga huo hawaufuati kabisaaa!!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

    Mnajichanganya wenyewe kwa kitojitambua kwani mnajitekenya wenyewe tangu lini maskini akajikomboa si ataendelea kuwa mtumwa tu huku analalamika kwa asiyoweza kufanya. Kwa tonetone msitegemee mabadiliko jikomboeni kiuchumi kwanza ndiyo mtaweza kujikomboa kisiasa,viongozi wenu hawana uwezo nyie...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

    Haya sasa kila mtu kwenu ni muuaji,kwa akili hiyo mtaolewa sana na wazungu
  11. H

    JamiiForums Tanzania Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

    Hapo ndipo wapinzani wa Tanzania mnafeli hivi kweli unaweza kuleta mapinduzi ya kisiasa kwa kitegemea fifa? Shame on you!!
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kama biblia na quruan ni vitabu vya Mungu vilivyoshushwa je Mungu ndiye aliyefanya hayo marekebisho?

    Kwahiyo hapo kulikuwa na wahindi,wachina,wakorea,warusi,nk au unaongea tu ili kulinda ujinga waliolishwa wafia dini. Kama mabara matatu yalianzia hapo iweje kuwe na jamii tofauti zenye asili tofauti?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?

    Umetumia akili zako au za kibiblia?unashindwa kujiongeza hata kujiuliza kwanini mashehe,wachungaji,maaskofu,nk wao waruhusiwe kuoa ila mapadiri wasiruhusiwe?ukiacha ushabiki wa kibiblia utajitambua vinginevyo utaendelea kuwa JUHA!! Haiwezekani mwanaume rijali asioe basi wangeamia kuwapadrisha...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mkristo lakini siabudu kwenye kanisa lolote, wala dhehebu lolote, ninamwabudu Mungu katika roho na kweli.

    Wewe soyo mkristo sema hujitambui tu,kabila yako ndiyo dini yako ukisema tu kuwa ni mkristo tayari umekubali kuwa wewe ni zao la utumwa wa kifikira,Mwafrika hasa mwenye akili hapaswi kujitambulisha kuwa ni mkristo ni uninga bora unitambulishe kwa kabila lao la asili
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kuna mkatoliki amewahi kujiuliza kwanini mapadre wanawafungisha ndoa ila wao mapadiri hawafungi ndoa?

    Tujitafakari, Inawezekanaje mapadiri wawe sawa kuwaozesha waumini wenzao lakini wao hawaoi,hata hili waafrika hamlioni kuwa ni ujinga uliopitiliza na kama ni imani je siyo ujinga wa kutokuhoji? Wazazi wao wasingeoana jea hao mapadiri wangezaliwa?
Back
Top Bottom