Huyu mtu anayeleta mada kama hizi lazima ana matatizo au ni mnafiki, inamsaidia nini mtanzania leo hii ambaye hana umeme, maji, mafuta, chakula, mfumuko wa bei na ufisadi uliopindukia ukaja na upuuzi huu eti kula za maoni gani haya. Acheni kuwatania watanzani wamechoka na masihara haya enyi...
Ndugu zangu wana JF ishu ya madawa ya kulevya mkuu wa kaya anaijua nitatoa mfano. Kuna madawa ya kulevya yalikamatwa Tunduma november 2010 zikiwa kilo arobaini na mbili zikabidhiwa polisi Mbeya uwezi kuhamini zote zilipotelewa mikononi mwa polisi wakasema yalikuwa siyo madawa ila mkaa nilikuwepo...
Shy,
Badilika ndugu yangu hizi story za kunukuu mambo ya mwalimu ndizo mnazitumia kuua nchi hii ili kuararisha uovu, kitu cha kujua ni kuwa hivi
sasa watanzania hadi vijijini wanajua shida zao. Leo hii niliko ni siku ya nne hakuna umeme numeenda tanesco wanasema ni mgao sasa unawambia nini...
Kwanza niwapongeze hao walioanzisha hii move ni watu waelewa, hawa ambao wanajidai wanapinga hayo maandamano ni wanafiki. Tatizo la nchi kwa sasa ni UNAFIKI na ndiyo chanzo cha matatizo ya hii nchi, utakuta mtu anafikiri akimsifia kikwete atafanikiwa na matokeo yake mnaona hata uteuzi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.