Ni kweli mama lazima akasirike na mtoto lazima uwe na huruma kwa mama / kwa mlezi wako. Mimi nimelelewa na mama na baba wa kambo ukoo wangu kwa baba nawajua ila sina Shobo nao na wale wachache niliowahi kukaa nao niliwaambia najisikia amani zaidi nikiwa na ndugu wa kwa mama kuliko kwa baba. Japo...
Samahani dada yangu, kwa miaka kumi na tano ya ndoa inafaa nikuite dada. Nimekuomba Samahani kwa sababu we ushauri wa tatizo lako umeomba kwa wanawake na mimi ni mwanaume ila nakuomba usinipuuze nisikilize kama hutojali. Kama umeamua kuiponya ndoa yako naomba fanya haya. Anza kufanya wewe yale...
Ulipo
Ulipo hack simu yake na kuona anagongwa na wengi then ukaendelea maanake ulikuwa tayari kulea damu ya yeyote miongoni mwenu itakayorutubisha. Sasa leo unakataa ndio maana tunasema maelezo yako ni uongo
Siyo kweli wengine tuna vibarua vyetu na tunajipatia ridhiki zetu halali ila usumbufu wa mabinti wadogo wa kutuma nauli na asije bila sababu inatufanya tutafute pumziko kwa wamama
Naunga mkono hoja, mara nyingi sisi wanaume huwa tunakosa maamuzi halafu tunasingizia limbwata. Mtoa mada tangu aliposhtukia kuhusu mimba ya kwanza ilipotolewa angechukua hatua ngumu haya yote yasingetokea
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.