Jamani,mwenzenu nliitwa interview ya CASHIER J5 hii na Jana nikaitwa kuanza kazi,Niliexpect kutakuwa na training flani kwa ajili ya hii kazi,ila walichonifanyia ni kunipa buku(1000/=) na kunambia niende kigamboni kutafuta wateja,hii leo nipo tandika na nimepewa tena buku........najiuliza mimi ni...