Recent content by hajisalim174

  1. H

    Spika Job Ndugai, Naibu Spika Tulia Akson Mwansasu, lazima UKAWA wanyooke

    Dar wameshaanza kuonja joto la Magufuli. Mlishaambiwa ccm ni ileile mkabisha. Sasa mtaisoma namba. Hapa kazi tu.
  2. H

    Mabasi ya KILENGA ni ya mkubwa gani hapa Tanzania?

    Malisa alipata ajali ya kugongwa na gari. Ila kwa sasa ni mzima na yuko kituo cha usa.
  3. H

    Waangalizi kutoka Afrika Mashariki wakosoa mfumo wa uchaguzi wa Tanzania

    Moja ya sheria ni hii kuhusu tume kuwa na nguvu ya kutangaza matokeo ya rais na yasihojiwe wala kupelekwa mahakamani. Bila hii katiba kurekebisha kwa maslahi ya wananchi utaisoma NAMBA MPAKA UNAZIKWA.
  4. H

    Waangalizi kutoka Afrika Mashariki wakosoa mfumo wa uchaguzi wa Tanzania

    Mimi ninawapongeza sana wananchi waliowapiga chini wale wabunge mizigo waliokua na kazi ya kupiga makofi kwa kila hoja zilizokua zinaletwa bungeni na wao kuziptisha bila kujua athari zake.
  5. H

    Jeshi la polisi lazingira kituo cha sheria na haki za binadamu, lakamata watumishi

    Tuliambiwa ccm ni ile ile haitabadilika, baadhi wameelewa na wengine bado wanaishabikia. Sasa mtaisoma namba. Hapa mwanzo tu. Hapa kazi tu.
  6. H

    Arusha - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

    Niko hapa mbauda kata ya sombetini. Mwamko ni mkubwa sana watu ni wengi sana wamama kwa wababa. Vijana ndo usiseme. Wasimamizi wanawaongoza watu vizuri sana
  7. H

    Yanayojiri Monduli: Mkutano wa Edward Lowassa - Uwanja wa Barafu Mto wa Mbu

    Weka picha ya wana Ukawa wakiwa wanabebwa plse.
  8. H

    TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    Na wizara ya NISHATI NA MADINI haijafanya mazuri nayo ikatangazwa. Si ni moja ya wizara za serikali ianayoongozwa na CCM?
  9. H

    TBC 1 kuonyesha makala za Wizara ya Ujenzi, sio kumnadi Magufuli?

    Hapa Arusha ccm wameweka bendera zao mitaa ya philps hadi sanawari ni nyingi. Nilihisi wahuni wangezitoa ila hakuna anaezigusa jinsi wanavyoiogopa ccm.
  10. H

    Yaliyojiri: Mkutano wa Mgombea wa CCM, Dr. Magufuli jimboni Chato, Geita - Septemba 20, 2015

    Huyu mama alimsusia mumewe kugombea uraisi. Ndo mana hakupenda kumkampenia. Haupendi u- fast lady mnamlazimisha.
  11. H

    Duni asusa kampeni za kusaka kura za chadema kisa wagombea wa CUF kukataliwa majimboni

    Baki na tetesi zako. Tupe picha ya HAJI DUNI akisema hizo story.
  12. H

    Bulembo: Hatutawaruhusu upinzani kwenda Ikulu

    Wanajua wanachòongea. Kuanzia yule bosi aliyetukana na huyu halafu leo wametangaza watatoa matokeo ya urais vituoni. Ccm imeuzwa
  13. H

    Mwigulu: Lowassa anajua atashindwa, ameanza kuandaa watu kisaikolojia

    Sasa hivi ni muda wa vitendo. Sio watu wa ahadi kama ccm. 25.10.2015 ✔ kwa EDWARD LOWASSA. Hiyo ndo dawa yao.
  14. H

    Mrema: Nguvu ya umma inayomsapoti Lowassa ni kubwa zaidi ya 1995 !

    Tunataka na huko ukawa tuone kuna nini kipya? Ccm msitubanie!!!!.
Back
Top Bottom