Hakuna fursa walizochukua wamasai zanzibar, sote tunafahamu sheria inakataza kutemvea na silaha, au wao wapo juu ya sheria?
Kwann wengine wakitembea na silaha iwe ni kosa wamasai isiwe ni kosa? Inamana serikali inabagua nayo.
Halafu hebu watu waapokwenda sehemu tofauti na jamii ya kwao basi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.