Recent content by Haji Muhibu Mnamba

  1. Haji Muhibu Mnamba

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mahakama ya kadhi

    na kwa nchi zenye dora ya kiislamu ni kwel kadhi inahukumu kesi kama ikithibiti kabisa kuwa ni mwizi atakatwa mkono na kama mtu kaua naye atachinjwa na nama mtu kafanya znaa basi atachapwa stik adia atie adabu. xaxa kwa akili ya kawaida ubaya ukowapi hapo. kama mtu utaona mtu aliemuua ndugu...
  2. Haji Muhibu Mnamba

    JamiiForums Tanzania Kuhusu mahakama ya kadhi

    ukweri ni kwamba kadhi court. ni haki tupu hutendeka. na kwa nchi kama tz ambayo si dora ya kiislam basi kadhi court hí itadili sana na mamboya kifamilia zaidi mfano mambo ya ndoa,mirathi,mayatimawajane na kwa watakao si lazima
  3. Haji Muhibu Mnamba

    JamiiForums Tanzania Naombeni njia jamani nifanyeje

    duh huu ndo ukweł na uwazi bana. bt tumrejee Mungu tu jamani
  4. Haji Muhibu Mnamba

    JamiiForums Tanzania Ardhi University(ARU) - Special Thread

    sasa jamani kama certifcate ipo morogoro muelekezeni kijana uyo
Back
Top Bottom