Recent content by haikamosh

  1. H

    Mapendekezo ya wananchi: Muundo wa Baraza la Mawaziri kwa Serikali ya Awamu ya Tano

    Wote mliowataja hakuna hata mmoja atachaguliwa mtu ambaye hamkutegemea
  2. H

    Rais Magufuli mpeleke Lowassa Mahakamani kama ni fisadi

    Hajakosea lakin ameongea jambo la maana..kwan bro magu ni moja ya ahadi zake atadeal na mafisadi,sijapenda ulivyocoment...ni haki kabisa kudeal na mafisadi na tujue ukweli yupi fisadi na yupi siye
  3. H

    Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    Ulikua una record nae?au tokea ununua hyo tecno na kuanza kujua kutype msg baaaasiiiii chochote kinachokujia akilini unapost? Ndoroboooooo weeee
  4. H

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA na UKAWA, Lowassa ndani ya BBC Swahili - Oktoba 21, 2015

    Mtoa post jina lako linajitosheleza pima mwenyewe
  5. H

    Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Lowassa uwanja wa Taccoshiri - Kyela

    Wewee hata hilo jina ulilojiita linaendana na wewe
  6. H

    Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    Sio mleta mada akili yake iko mfukoni ni wewe akili yako iko mfukoni..ukiulizwa unashabikia ccm kwa lipi utasemaje wewe?toa sababu nijue kuwa wewe sio mbulula
  7. H

    Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    Bro umesahau na wale wanaolala kwao yaan bado wako kwa baba na mama ndo wale wanaoshabikia ccm
  8. H

    Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    Nawaambia tena wana jamii mkimchagua magufuli ni tungojee nchi kuwa tatu bora ya nchi masikini duniani....time will tell.
  9. H

    Heshimu sana watu hawa "wanaongea kidogo wanasikiliza sana"

    Asante bababaaaaaa waambie hao...nishasemaga huku ndani magufuli mi mropokaji na muongoooooooooo...ahadi anazotoa ni za uongo juzi kasema atajenga uwanja wa ndege wa mwanza uwe kama geneva uswisi dooh??????!!!!!pia alisemaga atajenga hospitali ya rufaa kila mkoa,atajenga kiwanda kila mkoa dooooh...
  10. H

    Lowassa asababisha timua timua ITV

    Umenichekesha sana rohongumu hahaaha chopa zetu zote ziko salama...ziko ziarani kanda ya ziwa
  11. H

    Chopa ya Livingstone Lusinde yapata hitilafu, yashindwa kuruka

    Naaam kaka juzi usiku alisema helicopter zao ziko salama hakuna helicopter iliyoanguka jana asubuhi nikapata taarifa helicopter ilikua ya ccm,na imeua..ndo nkaanza poteza imani na jamaa
  12. H

    Manyerere Jackton nakuomba ufafanue kwa kina taarifa yako

    Nani anasema ukawa ndo wamesema huo uzushi????
Back
Top Bottom