Rejea kwenye kichwa cha habari kama kinavyosema SIMU NI SH 180,000 TU:
Sifa;
*Simu ni used for one week, that means simu bado ipo OK.
*Inasaport 4g
*Ina internal memory 4GB na 768MB RAM
*camera ni 5mp back camera with LED FLASH and 2mp front camera
*unauziwa na kila kitu Chake that means...
1)Mimi ni mwanafunzi hivyo Sifanyi shughuli yoyote
2)Hapana sijawah kuugua
3)Hapana hakuna
4)mara nying ni maeneo ya mfreji wa uti wa mgongo, kwenye mbavu na sometime kifuani
5)maumivu ni wakati wowote tu pind 2 nnapojinyoosha na hasa nikitoka kuamka
6)sifanyi chochote kwasababu hata...
Habari wana Jamii forums,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20, tatizo langu kubwa ninasumbuliwa na maumivu ya mgongo pamoja na uti wa mgongo kwa takribani miaka 3 sasa, nilishawahi kutumia dawa mbali mbali za kuchua na vidonge pindi tatizo hili linanianza bila mafanikio
Pia nisha Piga x-ray...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.