Wana jamvi nawasalimu,
Kuna msichana wangu ambae tumedumu nae kwa miaka 2 sasa, elimu yake ni form six, alifeli, tulipanga mipango mingi ya maisha pamoja, ikiwemo kufunga ndoa.
Tukaona kwamba ni vema na yeye apate kazi ndipo tuweze kufunga ndoa, kikwazo ikawa ni shule, ni makampuni machache...