Search results

  1. H

    Ubaguzi wamponza Donald Trump, wapitisha azimio kumzuia kuingia Uingereza

    Kiukweli, IS wameua waislam wenzao wengi zaidi ya wakristo, sijaelewa why? Maana ukiachana na tukio la ufaransa na ndege ya Russia Egypt, victims wao wamekua Muslims humo humo ndani ya Syria, Mara kadhaa wame bomb misikiti na maeneo mengi arabuni Ilifika pahala watu wakasema huenda IS iliundwa...
  2. H

    Mrejesho: Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Haitanisaidia kutatua tatizo? Kuna pahala umesoma nahitaji kutatua tatizo? Opportunist? Unajua maana ya hili neno kweli? Kati ya mwanamke na mm nani opportunist hapo? Kila jambo alifanyalo mwanadam ni lazima atake responsibility for her actions Think before you do anything foolish Yaani...
  3. H

    Mrejesho: Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Ndio maana yake, ukiwa na tamaa kwenye maisha ya mapenzi lazima yatakukuta mabaya, haina tofauti na msichana anasomeshwa na mwanaume flani then akipata kazi anamkimbia kwa tamaa, kwa mtindo huu mtaendelea kufa kwa kuchinjwa sababu ya kuwa ma snitches Hakuna utakaemtendea hivi akuangalie Tamaa...
  4. H

    Mrejesho: Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Ha ha ha duu mtu hunijui sikujui, wala mwanamke mwenyewe ninaemzungumzia humjui halaf povu limekutoka namna hii, kweli Jf kuna watu wamechanganyikiwa Hii ya Leo Kali duu
  5. H

    Mrejesho: Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Wadau, Jana niliwaeleza kuhusu jipu moja linalohitaji kutumbuliwa Jipu hilo ni msichana wangu ambae amepiga u turn ghafla na kuamua kuolewa na mwingine, akisahau kuwa mimi najua siri yake ya kughushi vyeti. Baada ya ushauri wenu nimefikia hitimisho la kumchomea kazini kwake kuwa anatumia...
  6. H

    Kanikataa, je nimchomee kuwa ana vyeti feki?

    Wana jamvi nawasalimu, Kuna msichana wangu ambae tumedumu nae kwa miaka 2 sasa, elimu yake ni form six, alifeli, tulipanga mipango mingi ya maisha pamoja, ikiwemo kufunga ndoa. Tukaona kwamba ni vema na yeye apate kazi ndipo tuweze kufunga ndoa, kikwazo ikawa ni shule, ni makampuni machache...
Back
Top Bottom