Recent content by Haggy

  1. H

    Kinana aitesa CHADEMA, avuna Katibu wao Chunya na wanachama zaidi ya 86

    Taarifa za jamaa kukoma uongozi nilizitoa mapema humu.Huyu ndugu hakuwa kiongozi wakati kinana amekuja,alishakoma kuwa kiongozi.Nashangaa sana kama mwanachama aliyetimuliwa kwa ubadhirifu na matumizi mabaya ya mali za chama,anapokewa kwa kishindo namna hii basi CCM kimejimaliza Chunya.Mngefanya...
  2. H

    Dhana ya udini, ukabila na ukanda wa CHADEMA

    NANI MDINI KATI YA CCM NA CDM? Facts CCM LEADERSHIP Mwenyekiti mwislam, katibu mkuu mwislam, katibu mwenezi mwislam serikali yake rais islam makamu rais islam, jaji mkuu islam, mkuu wa majeshi islam, mkuu wa jeshi la polisi mwislam nk nw judge by yrself.
  3. H

    Taarifa kwa vyombo vya habari

    Lazima watoke tu hata mkija na maujiuji
  4. H

    Aliyekuwa katibu wa chadema-chunya kutimkia ccm

    Ukijiingiza kwenye hilo kundi la watu makini utafahamu jinsi alivyoshindwa na madudu aliyoyafanya yametosha kufanya aonekane kilaza kwani waliomchagua walikuwa binadamu,wangeweza kukosea,KILAzA NI KILAZA tu.Mtu mnafiki anapofikia kuonyesha tabia yake halisi ni zaidi ya kilaza.Mkuu Mchukueni...
  5. H

    Aliyekuwa katibu wa chadema-chunya kutimkia ccm

    Aliyekuwa Katibu wa CDM wilaya ya CHUNYA ndg.Bryson Mwansimba anatarajiwa kutua CCM hivi karibuni.Bryson Mwansimba alijiuzuru kufuatia ziara ya Katibu mkuu Dr.Wilbroad Slaa kubaini madudu mengi aliyokuwa akiyafanya ikiwa ni pamoja na kuweka bondi pikipiki ya Chama.Kutokana na kuhofia...
  6. H

    Lengo la Uongozi lisiwe Madaraka bali Mabadiliko yaliyojaa Utu – LEMA

    Kaka yangu Lema Nasikitika sana kwamba taifa halikuelewi.Misingi ya thamani ya Utu wetu si swala kwa wanasiasa wetu.Wengi ni wepesi kwa hoja nyepesi mno.Thamani ya utu wetu ikizingatiwa basi ni fungu moja la yote mema tunayoweza kutaja kwa taifa.Jitahidi usikate tamaa.Najua Unapingana na WOGA...
  7. H

    Yuko wapi mbunge wetu Victor Mwambalaswa wa Jimbo la Lupa?

    Karibu Mkuu Mpalisya.Heshima yako! Ni kweli ni dhambi kusema uongo lakini ni dhambi piakuficha ukweli.Kama tunaujua ukweli si tu haki kuutetea lakini wajibu wetukuuweka wazi.Nitauweka wazi. Kumkana MasingijaJilala ni usaliti usio na kipimo.Muuaji huyu si tu rafiki ya Mhe.Mbunge bali nimpambe...
  8. H

    Yuko wapi mbunge wetu Victor Mwambalaswa wa Jimbo la Lupa?

    Sijui anauelewa gani kuhusu uwakilishi wa wananchi.Kazi kubwa ambayo amewahi kuifanya nikikumbuka ni kuwa mseamji wa Harrison Mwakyembe basi.Husikii jambo lolote analopigania.Haiwezekani wilaya kongwe na tajiri kama Chunya iliyo na karibu kila kitu bado hali ya maisha ni mbaya kiasi hiki.Wachina...
  9. H

    ZITTO Kabwe adai KUKERWA NA KUCHOSHWA na siasa za MAJUNGU CHADEMA..

    kweli umenena Benn,kiongozi makini atasimamia kanuni,ukisema vikao vya majungu,na watu waongo,.unafanya kilekile unachokikataa,.Unafiki mbaya sana
  10. H

    Yuko wapi mbunge wetu Victor Mwambalaswa wa Jimbo la Lupa?

    Anaweza kuwa alikanyaga,lakini ni katika shughuli binafsi labda za biashara ya mbao au kusafirisha tumbaku.Tulimtuma atuwakilishe,atuletee mrejesho wa yale tuliomtuma,hatumuoni akija kama alivyokuja kwa unyenyekevu wakati wa kuomba kura,Kuja tunakozungumzia ni kufanya kazi aliyotumwa na watu,sio...
  11. H

    Yuko wapi mbunge wetu Victor Mwambalaswa wa Jimbo la Lupa?

    Anaweza kuwa alikanyaga,lakini ni katika shughuli binafsi labda za biashara ya mbao au kusafirisha tumbaku.Tulimtuma atuwakilishe,atuletee mrejesho wa yale tuliomtuma,hatumuoni akija kama alivyokuja kwa unyenyekevu wakati wa kuomba kura,Kuja tunakozungumzia ni kufanya kazi aliyotumwa na watu,sio...
  12. H

    JK safarini Uingereza kwa siku 4 aambatana na mawaziri 4

    mmmhh JK acha bwana!!
  13. H

    Yuko wapi mbunge wetu Victor Mwambalaswa wa Jimbo la Lupa?

    Salaam Mheshimiwa popote ulipo,. Utakapo kujua hali zetu.Sisi tunajisukuma,Munguanasaidia.Hatujakuona muda mrefu jimboni,vipi uko wapi? Ni Dar es Salaam au njeya nchi? Tangu wakati wa uchaguzi 2010 ndipo tulikuona mara ya mwisho ukisemanasi. Uliahidi mengi sana lakini mbona huyatekelezi au...
  14. H

    Mbunge wa Moshi vijijini aibia Wananchi Milioni (240)

    Apelekwe kwenye mahakama ya wananchi
Back
Top Bottom