Recent content by HAGAZA INVESTMENT

  1. H

    JamiiForums Naomba kujua hatua za usajiri wa kiwanda kidogo cha chakula

    oky mkuu asante, usajili wa biashara tayari ninao cz nafanya biashara nyingine ya duka la rejareja, na unga nimekua nikiuza ambao nimeufungasha na jina kabisa ingawa sikusajiri sehemu yoyote na nimekua nikiuza local sehemu iliyopo. ninachohitaji ni usajili wa vyote ulivyoeleza hapo juu ingawa...
  2. H

    JamiiForums Naomba kujua hatua za usajiri wa kiwanda kidogo cha chakula

    hii nadhani nitahitaji muda kidogo maana naskia gharama zake ni kubwa
  3. H

    JamiiForums Ushauri kuhusu biashara nzuri ya kufanya, nina mtaji wa laki tatu

    mil tatu ni nyingi kwa kuanzia sehemu uliyopo tafuta chumba maeneo yanayojengeka thn fungua duka dogo la hardware anza na uuzaji wa cement na chokaa na misumali then utaongeza bidhaa kutokana na mahitaji na mzunguko wa biashara. kumbuka biashara hadi iwe stable huwa inachukua miez sita hata...
  4. H

    JamiiForums Naomba kujua hatua za usajiri wa kiwanda kidogo cha chakula

    nimekua nikifanya biashara ya kufungasha unga wa ugali kwa mwaka sasa naona inalipa so nahitaji kuwekeza zaidi, nimenunua eneo nimejenga sehemu ya kuokea mikate, sehemu ya kusaga na kufungasha unga wa aina mbalimbali, ufungashaji wa maziwa fresh na mtindi pamoja ufungashaji wa nyama ya kuku. kwa...
  5. H

    JamiiForums Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    m mwache akasome bro mkeo mkeo tu usiwaze sana mabaya juu yake mwache akasome maisha yasonge usiwaze maswala ya kuchapiwa yamkini hakuna mkamilifu
Back
Top Bottom