huyu jamaa ana cv ya ukweli alakini nikanjanja wa hatari....
sasahivi ulizia yupo wapi kama sio mombasa kuvuta raha.
ni kati ya wanasheria wakali sana japo wame base kwenye makampuni na mashirika kwani huko ndio huwa wanapiga ndefu.
huyu digo alikua na yule jamaa aliejirusha ghorofani...
mabwege tu ndio watakao msapoti huyo msaliti zito.
sasahivi watu wapo makini sana wanajua mbivu na mbichi.
kwanza fanya tathmini zito alishinda kwa kura ngapi na ujipime Tanzania ina wapiga kura wangapi watakao ipigia chadema.
aende na mambo yake mnafiki mkubwa huyo
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.