Recent content by Hadoop

  1. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Software Development!

    Wadau wa IT. Tupo katika mchakato wa kutengeneza software application (web based application), itakayowezesha customers wetu kutazama financial reports mbalimbali kama vile Stocks, n.k Baadhi ya features muhimu ni kama vile Charts, Bar graphs, Line graph, n.k zinazoonesha financial...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Unamaitaji ya applications ndogo ndogo za windows....?

    Good move mdau. Mimi pia natengeneza windows application kwa matumizi ya maofisini na biashara mbalimbali. Tunawezaungana tukafanya hizi kazi pamoja. Technologies nazo tumia: Microsoft: wpf, mvvm, prism, c#, Entity Framework, .NET, SqlServer n.k Java/Sun: Java, JSP , Servlets, J2EE...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Programming kwenye GSM Modem!

    Mkuu wewe si unazijua modem zetu za hapa home tz zimetoka Huawei China. Nimejaribu AT command kwani hiyo ndiyo basic na minimal command kabisa, sasa nikashangaa inakuwaje zisi support!!! Nimecheki online source, wanasema modem baadhi hazi support Advanced AT commands na si hizi basic commands...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Java programmer!

    Thanks sana ndugu. Darasa limeeleweka. Pamoja.
  5. H

    JamiiForums Tanzania Java programmer!

    Thanks mkuu. Hiyo infite loop nimechukua kama mfano tuu, though ni bad design. Ku save video kweli sio nzuri, pia ina add delay isiyo ya lazima. Nilicheki hiyo lib , naona ipo ki commercial zaidi, na ina support language nyingi tuu. Me ni mwanafunzi, nafanya research katika application...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Java programmer!

    Mkuu nashukuru kwa mchango wako. Nimeona nitumie Java kutokana na open source library nilizozisoma + uwezo wangu wa kutumia Java si mbaya sana. Issue kubwa nilizoonayo ni:- 1. jinsi gani ya ku synchronize images zinazokuwa captured na zinazotumwa kwenda kwa receiver? 2. jinsi gani ya ku merge...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Java programmer!

    I thought nifanye kama ifuatavyo:- Sender a.k.a capturing computer:- 1. Loop infinite 2. Capture screen and save as image file 3. Create video from saved image 4. Stream video kwenda kwa receiver ..... Receiver: 1. Receive video sent by Sender 2. Show video 3. Receive Commands(mouse click...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Java programmer!

    Nahitaji kutengeneza iwe desktop application, lakini communication between pc inayo capture na ku share na nyingine iwe through Sockets. Tatizo kubwa kwangu ni jinsi njia nzuri ya ku transfer(yeah nime opt socket) captured screen kwenda kwa pc nyingine. Nachotaka ni kwamba kusiwe na delay...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Java programmer!

    Hahah! Mkuu nimecheki source mbalimbali. Hawa waja yao ni web based, nimeicheki from high levl point. Me nataka iwe desktop-based lakini communication itakuwa kupitia UDP au Stream sockets.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Programming kwenye GSM Modem!

    Wadau nimejaribu ku execute "AT commands" chache kama vile AT (on HyperText Terminal) kwenye GSM modem (Huawei) za hapa home tz naona zinagoma kabisa. Nikitumia modem za nchi nyingine zinapiga kazi vizuri tuu. Kuna mwenye wazo lolote juu ya hili tatizo? Au modem wanazoleta hapa kwetu zina...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Java programmer!

    Wadau wa Java, nahitaji ku create real-time desktop/screen sharing application in Java. Naomba mchango wenu.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

    Tupeni link na sisi tuangalie online wadau
  13. H

    JamiiForums Tanzania Live! Updates: Brazil vs Spain - Confederations Cup 2013 Final - Leo Jumapili, 30/06/2013

    Tupeni link na sisi tuangalie online wadau
  14. H

    JamiiForums Tanzania Serikali tatu ndio dawa ya muungano!

    Serikali 3 ndio mpango wenyewe wa kuua muungano kisomi zaidi.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Serikali tatu ndio dawa ya muungano!

    Ndugu zangu, tukiwa tunajiandaa na serikali tatu, nashauri watanganyika tuanze kujianda na yafuatayo:- 1. Tuwaambie kabisa wapenzi wa muungano huu, waanze kuanda ikulu yao atakayeishi rais wa huo muungano. Ikulu ya sasa ni mali ya Tanganyika. 2. Tuanze ku edit katiba yetu, YES ni ku...
Back
Top Bottom