Recent content by hadidurejea

  1. H

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

    Issue ni quoting ya mstari then ukatoa maana yako. Sura nzima au ni katika muktadha upi ameongelea hilo?. Hiyo ndio italeta maana iliyokusudiwa.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Benjamin Mkapa: Natamani kuwe na Tume Huru ya Uchaguzi, Wapinzani wahusishwe kwenye kupiga na kuhesabu kura na kutangazwa mshindi

    Tafuteni kitabu kizima mkisome ili mkija hapa kutupa habari isiwe nusu nusu, tuelewe maana nzima. Kuchomoa chomoa vipande huenda tusijue hilo limetokea katika context ipi?. Wanaopondea mnataka bidamu afanyeje aeleweke?. Kama taifa tuna madonda na Maumivu mengi yaliyotokea na...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

    Tunashiriki Chaguzi kwa kuwaza, maneno na vitendo. Hata kama hawana mgombea Ila wangeshiriki kwa namna moja ama nyingine. Hata kwa kuombea tu uchaguzi ufanyike Salama na tupate viongozi sahihi ni kushiriki. Kushiriki uchaguzi kunaenda hata baada ya uchaguzi, kwani viongozi chaguliwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Vyama vya siasa ndio vimeharibu kwa kuingilia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Kutetea nini?. Huwa sitetei chochote aslani, naongea ukweli ninanavyoona bila mapenzi au ufuasi kwa awaye yote Mungubl ni mwema sana. Usiku mwema
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

    Watu umbea tu umewajaa, wakimaliza umbea wa menina wanaleta wa siaegii, wakimaliza you wanaleta wa Zahera, sasa wanaupalilia huu.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Je, mshahara wa mke huhusika kwenye matumizi mbalimbali ndani ya nyumba?

    Kama mke wako ni Vice president na obviously Ana kipato kikubwa kuliko wewe hapo inakuwaje?. Kama mke wako ni waziri wa afya au elimu na Ana kipato kikubwa kupita kiasi kuliko wewe hapo inakuwaje?. Kama mke wako ni Mkuu wa mkoa?. Kama mke wako ni mkurugenzi wa taasisi kubwa kubwa au...
  7. H

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Vyama vya siasa ndio vimeharibu kwa kuingilia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    lukindo, Tunaanzia kitongoji then kijiji kwa halmashauri za wilaya, majiji, Manispaa na miji tunaanzia mtaa, then Kata, Tarafa, Wilaya, Mkoa n.k. Tuko vizuri na wengine wanakuja kujifunza kwetu.
  8. H

    JamiiForums Tanzania James Mbatia: Vyama vya siasa ndio vimeharibu kwa kuingilia uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    lukindo, Sio kwa vile huo ni wa Uganda ndio lazima uwe bora dhidi ya wa kwetu. Ninaamin yetu ni bora zaidi ukiondoa huu unazi wa kivyama uliopitiliza. Usibeze kila kitu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo asema atabandika majina hata ya wale waliojitoa na kura zitapigwa

    Hivi waliosababisha makosa hata uchaguzi wa Zanzibar wa 2015 ukafutwa wameshitakiwa au kuwajibishwa wapi?. Hasara ya sh ngapi ilipatikana?. Ni dosari zipi hasa zilitolea hata ukafutwa?. Why not huu???
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mwita Waitara: Ukiona umenyimwa haki yako nenda Mahakamani na sio kususia uchaguzi na kushawishi fujo mitaani

    Simple, ifuteni chadema imegomea uchaguzi mbaki peke yenu. Hiyo mikwara Mbuzi na uzushi eti kuna fujo upeleke kwa mkeo. Tujifunze. Tuliisambaratisha NCCR kwa majungu na dola, ikaja CUF. Tumeifanyia hivyo hivyo CUF kwa propaganda za ovyo na dola ikaibuka Chadema. Mnajidanganya. Ipo...
  11. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Najua hili unalijua ila umeamua tu kukifurahisha. Waliopanda na mbunge mmoja, madiwani wachache hela walikuwa nayo?. Kiwango walichofikia walikopa kwako?. Siku za mwizi ni 40. Tumieni mbinu zote ipo siku 40 yenu itafika. Mnahitaji ushindi wa kishindo, mmeachiwa mpate wa Tsunami bado...
  12. H

    JamiiForums Tanzania CCM wazungumzia Wagombea wa upinzani kuenguliwa Uchaguzi Serikali za Mitaa

    Anatabasamu?, anacheka? Anazomea? Analia? Au Amekenua?. Si apige kawaida tu bila mbwembwe?. Vitu vingine kukubali tu. Sura nzuri sio lazima.
  13. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi S/Mitaa 2019: Wagombea wa Upinzani asilimia kubwa wameenguliwa kugombea, CCM wengi wapitishwa

    Kimsingi wagombea wa CCM,wana akili sanaaa, hawawezi kukosea kujaza forms.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo: Wagombea wote walioondolewa kwa kuonewa haki itatendeka na watarejeshwa kwenye uchaguzi

    Hili suala halina afya kwa Taifa wala CCM yenyewe. Mara mia mngesubiri mkaiba kura kama utaratibu wenu ulivyo ( nyie ni majizi kwa asili) kuliko mlichokifanya. Kupandikiza chuki katika level ya mtaa ambapo watu ni wachache, wanajuana, wengine ni ndugu n.k, hamjatafakari vya kutosha...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki

    Wengine hayatuhusu. Malizaneni ndani kwa ndani.
Back
Top Bottom