Mimi sabuni zangu zina povu na pia zina perfume nzuri..
lakini pia hata dawaya tiles na sink inang'arisha na hata dawa ya madoa ya kwenye nguo ni nzuri majirani zangu wanaisifia..
Kiukweri sina shaka na bidhaa zangukwenye utendaji kaz wake
Nmeanza biashara ndogo ya kutengeneza CLEANING PRODUCTS mwenyewe. Natengenaza bidhaa kama sabuni ya maji,jiki,na dawa ya tiles na sink n.k
Changamoto yangu kubwa kwa sasa ni kupata wateja na kuitambulisha brand yangu.
Nmejalibu kutumia Facebook, tiktok , instagram na whatsup lakini bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.